Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Briefing inafanywa kwa "some members of the congress" na sio kwa members wote@
Ndio maana nikasema umetoa mfano na kuacha facts muhimu. Sio kila kitu anaambiwa kila mtu, lakini wenzetu wana-utaratibu wa kulipa briefing Bunge kupitia viongozi wachache kuhusu mambo muhimu, hawaendi tu kimya kimya
 
Hii wenzetu wanaita "deception by omission", ni kweli hata kwa wenzetu sio kila kitu kinawekwa hadharani, umetoa mfano wa George Tenet, lakini hujasema US Congress wana utaratibu wa kuwa briefed kuhusu classified issues. Umewahi kusikia kitu kinaitwa Gang of Eight?
You will never know who are those EIGHT and why only them and not others.
 
You will never know who are those EIGHT and why only them and not others.
Wanajulikana mkuu....

Speaker of the house
Leader of the house minority
Leader of senate majority
Leader of senate minority
Chair of Senate Intel Committee
Ranking member Senate Intel Committee
Chair of House Intel Committee
Ranking member House Intel Committee

Basically viongozi wa bunge kutoka chama tawala na upinzani
 
Wanajulikana mkuu....

Speaker of the house
Leader of the house minority
Leader of senate majority
Leader of senate minority
Chair of Senate Intel Committee
Ranking member Senate Intel Committee
Chair of House Intel Committee
Ranking member House Intel Committee

Basically viongozi wa bunge kutoka chama tawala na upinzani
upo vizuri sana kwa mambo ya USA
 
Mawazo ya hovyo kabisa haya!

Yaani watu kama akina Ben Saanane hawajulikani walipo kwa takribani miezi 18 sasa; wewe unataka kuaminisha watu kwamba mambo kama hayo yanatokea kwa ajili ya usalama wa taifa?!

Mwandishi wa Mwananchi nae unaenda mwezi wa 4 sasa with unknown whereabouts; halafu unataka kuaminisha watu kwamba, hayo hayapaswi kuhojiwa kwa ajili ya usalama wa taifa!!

Kwa mfano, unaweza kueleza ni aina ipi ya security threat iliyosabishwa na mtu kama Ben Saanane kwa kuhoji PhD ya Mkuu wa nchi?!

Ikiwa Waandishi wa Habari wanaruhusiwa kwenda hadi uwanja wa vita kuripoti vita; ni hatari ipi ya kiusalama ambayo ingesababishwa na Ripota wa Mwananchi kwa kutaka kufuatilia kilichokuwa kinaendelea Kibiti?!

By the way, kila mmoja anafahamu Magaidi wakubwa kabisa waliokuwa wanahatarisha usalama wa Marekani walikuwa wanakamatwa na kupelekwa Guantanamo!

Unaweza kutueleza hapa hao wahatarishaji wakubwa wa usalama wa Tanzania wamezuiwa gereza lipi kwa miezi yote hii?!

Btw, hivi unafahamu tofauti kati ya kulinda taarifa za siri za kiusalama (classified info) na kuficha maovu yaliyofanywa na watu walio kwenye system?

All in all, yote yana mwisho haya na endeleeni kutetea udhalimu kwavile hayajawakuta!

Na uzuri ni kwamba, majority ya watetezi wa udhalimu unaoendelea wala hampo kwenye inner circle, na kwa maana nyingine; hata nyie hampo salama!!

Ikiwa hata Nape ameshawahi kutolewa bastola hadharani; seuze nyie ambao wengine hata kula yenu ni shida!!

Wengine mkikesha kuangalia filamu na tathimlia za kivita na kijasusi kutoka Hollywood, mnadhani tayari ndo mmeshakuwa wataalamu na wachambuzi wa masuala ya kijeshi na kijasusi!
Huu ni uandishi wa akina Tundu Lissu. Jazba nyingi hoja hakuna
 
Mimi nawapongeza wanausalama wote kwa kazi nzito lakini iliyoleta matokeo huko Kibiti.
Nawashauri waendelee kutumia nguvu stahiki kukabiliana na wapuuzi wote wanaotaka kuvunja amani.
Hakika mkuu
 
KAMA kuna cha kuiga kuzuia tusibague. Isije kuteka ,kutesa n.a. kuua kwa "masilahi ya usalama"n.a. ustawi wa nchi ionekane sahihi n.a. kutolewa mifano hiyo lakini "kuandamana,kukosoa n.a. kupinga" watawala inaonekana ni "uhaini" ilhali kwa hao uliowataja inaruhusiwa. Undumila kuwili n.a. unafiki!
Mhhh. Umeandika kwa uoga mkuu
 
Hii wenzetu wanaita "deception by omission", ni kweli hata kwa wenzetu sio kila kitu kinawekwa hadharani, umetoa mfano wa George Tenet, lakini hujasema US Congress wana utaratibu wa kuwa briefed kuhusu classified issues. Umewahi kusikia kitu kinaitwa Gang of Eight? Kama unakijua basi umeamua tu kutosema kila kitu ili utetee point yako; kama hukijui basi ulipaswa kufanya research zaidi.
Seen
 
Back
Top Bottom