Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

..kama kuna suala NYETI/SIRI/CLASSIFIED basi suala hilo halitajadiliwa in public bali ktk vikao vya faragha baina ya wabunge na wakuu wa vyombo vya usalama.
Sio wabunge wote wanapewa hiyo privilege. Labda useme kamati ya kudumu ya bunge ya masuala ya ulinzi na usalama
 
Mleta maada umeandika mada ndefu ungeandika paragraph moja tu isiyozidi sentensi kumi umeandika kijuaji lakini hewa Wala hujajenga hoja vizuri pamoja na kuwa uko sahihi kwenye heading
 
Mleta maada umeandika mada ndefu ungeandika paragraph moja tu isiyozidi sentensi kumi umeandika kijuaji lakini hewa Wala hujajenga hoja vizuri pamoja na kuwa uko sahihi kwenye heading
Hayo ni mawazo yako na sio lazima yafanane na mawazo yangu
 
Wanasiasa wa upinzani watakutukana sana katika uzi huu. Mark my words.
 
Mleta maada umeandika mada ndefu ungeandika paragraph moja tu isiyozidi sentensi kumi umeandika kijuaji lakini hewa Wala hujajenga hoja vizuri pamoja na kuwa uko sahihi kwenye heading
Hater at work. Roho mbaya haijengi mkuu
 
Wabunge wa Tanzania ni lazima wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa. Not every aspect of state security should be clarified to politicians.

UTANGULIZI
==========
Baada ya tukio la kigaidi la September 11 mwaka 2001, aliyekuwa director wa Central Intelligence Agency (CIA) kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa kuhusiana na masuala yahusuyo ulinzi na usalama wa taifa hilo.

Moja kati ya maswali mengi aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence Wing) pamoja na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya ardhi ya marekani.

Director wa CIA hakutoa ufafanuzi wowote ule zaidi ya kutoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena, which means not every aspect of state security should be clarified to politicians

MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.

Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.

Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.

Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.

Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.

Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.

Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.

Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.

Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.

I STAND TO BE CORRECTED.

OUR MOTTO: KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKOIPASAVYO
Hii wenzetu wanaita "deception by omission", ni kweli hata kwa wenzetu sio kila kitu kinawekwa hadharani, umetoa mfano wa George Tenet, lakini hujasema US Congress wana utaratibu wa kuwa briefed kuhusu classified issues. Umewahi kusikia kitu kinaitwa Gang of Eight? Kama unakijua basi umeamua tu kutosema kila kitu ili utetee point yako; kama hukijui basi ulipaswa kufanya research zaidi.
 
Hii wenzetu wanaita "deception by omission", ni kweli hata kwa wenzetu sio kila kitu kinawekwa hadharani, umetoa mfano wa George Tenet, lakini hujasema US Congress wana utaratibu wa kuwa briefed kuhusu classified issues.
Briefing inafanywa kwa "some members of the congress" na sio kwa members wote@
 
Back
Top Bottom