Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Sio kila upelelezi ni rahisi kufanyika mara moja. It might takes years. Inawezekana amekimbia nchi ama magaidi wamemteka. Ndio maana IGP anasema mtu yeyote mwenye taarifa zitakazoweza kuisaidia police apeleke

Hiyo ni Lugha tu ya kuzugia na kutufanya kama Watoto ila mkumbuke mtalipa tu hizo Damu za hao Raia hata kama sio leo na hata kama sio ninyi hata Vizazi vyenu.
 
Mimi nawapongeza wanausalama wote kwa kazi nzito lakini iliyoleta matokeo huko Kibiti.
Nawashauri waendelee kutumia nguvu stahiki kukabiliana na wapuuzi wote wanaotaka kuvunja amani.
Nakumbuka kipindi mauaji yalipokuwa yanaendelea tuliwalaumu polisi sasa kuna amani bado tunataka kuwalaumu.
Mkuu jngalao, wanasiasa hupenda kutafuta sifa za muda mrefu na mfupi. Hawa waliokuwa wanawakejeli polisi na usalama wa taifa, walikuwa wanazisaka sifa za muda mfupi.

Ni wale wazee wa matukio, sasa hivi wapo pamoja na ZZK kwenye suala la makinikia.
 
Ni vizuri kuacha unafiki na kujipendekeza tunapojadili mambo muhimu. Sijui ni kwa nini unachukua mfano wa China. Unataka tuige kwao?

Kati ya watu waliopotea, Saanane, Agwanda nk na waliotekwa kina Dr. Ulimboka Roma Mkatoliki na wengine, kuna aliyehatarisha usalama wa Taifa? Wanaosababisha hatari kwa taifa ni watekaji, majizi ,wanaonunua wabunge, madiwani na wanaobadili matokeo ya kura. Wote waliopotezwa na kuuawa na wanaoendelea kutishwa ndiyo wazalendo halisi. Wazalendo hawawezi kutoka Lumumba. Think twice.
 
UTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.

Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians

MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.

Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.

Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.

Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.

Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.

Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.

Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.

Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.

I STAND TO BE CORRECTED.

KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.

"Sio Kijana Kua Mzalendo,Penda Tanzania"

Ni

"Kijana kuna Mzalendo,Penda Serikali ya CCM"
 
Huwezi kufananisha utendaji wa CIA na TISS,TISS inafanya kazi kwa kuamriwa na Rais na kwa maslahi ya CCM.
CIA haipo kisiasa,inafanya kazi kizalendo kwa maslahi ya Marekani na siyo Republican wala Democratic.
Tunaipenda Tanzania, hatumpendi Magufuli na CCM yake.
Huwezi kuifananisha CIA na idara dhaifu kama TISS inayotumika na CCM 100%.
Rudi darasani tena,hujui lolote kuhusu kazi za intelligence umejaa ushabiki wa CCM, na huna uzalendo wowote Wewe ni mnafiki mkubwa,mchumia tumbo,uzalendo wako upo CCM na siyo Tanzania, ungekuwa mzalendo ungemshauri rais aache kuivuruga nchi kisiasa na kiuchumi.
Tutolee unafiki wako hapa.
 
Tatizo wanasiasa wetu wengi wao wanadhani ni haki yao kufahamu kila jambo linalohusu usalama . Mambo ya usalama waachiwe polisi,TISS, JWTZ etc wafanye kazi yao wao waendelee kupiga kelele
 
Kama watu walipita kote na kufika sehemu husika, nazani ni utoto kuto uliza
IMG_20181021_144227.jpeg
 
Kama wewe umepatikana unauliza nini sasa.

Usiwe na mifano ya mfu
Kuna mambo mengine hata ukiyajua hayana msaada kwako. Badala yake yanakuwa ni hatari kwa usalama wa nchi ....naona mifano kama hii itakufaa zaidi, mleta mada ameshakutolea mfano still bado wewe huelewi . Lazima upewe mifano ambayo inalingana na upeo wa akili yako
 
Usalama huu au? Kwa mifano yake kwa Tanzania hatufiti hata kidogo.

Penda sana kufikirisha akili
tapatalk_1539978473577.jpeg
IMG_20181019_185535.jpeg
 
UTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.

Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians

MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.

Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.

Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.

Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.

Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.

Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.

Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.

Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.

I STAND TO BE CORRECTED.

KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.
China China China.. Kwa hiyo Magufuli ni Mao Ze Dong au?
 
Usalama wa taifa. Si kila kitu ujue. Na Sio kila anaye potea ni watu wa usalama, matapeli pia wamo. Watu wamesahau kuwa kibiti sio POLICE na usalama walikuwa wakipambana na raia. Walikuwa wakipambana wasiojulikana (kawaida)wale waliokuwa wakiwaua watu wabunge wamewasahau.
You're in the same path with the OP.Tatizo letu wengi wanakuja na majibu yao ambayo yapo negative.
 
Back
Top Bottom