MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Ndio maana nikasema umetoa mfano na kuacha facts muhimu. Sio kila kitu anaambiwa kila mtu, lakini wenzetu wana-utaratibu wa kulipa briefing Bunge kupitia viongozi wachache kuhusu mambo muhimu, hawaendi tu kimya kimyaBriefing inafanywa kwa "some members of the congress" na sio kwa members wote@
Yes ninaifahamu vema sana hii Gag of EightUmewahi kusikia kitu kinaitwa Gang of Eight? Kama unakijua basi umeamua tu kutosema kila kitu ili utetee point yako; kama hukijui basi ulipaswa kufanya research zaidi.
You will never know who are those EIGHT and why only them and not others.Hii wenzetu wanaita "deception by omission", ni kweli hata kwa wenzetu sio kila kitu kinawekwa hadharani, umetoa mfano wa George Tenet, lakini hujasema US Congress wana utaratibu wa kuwa briefed kuhusu classified issues. Umewahi kusikia kitu kinaitwa Gang of Eight?
Wanajulikana mkuu....You will never know who are those EIGHT and why only them and not others.
upo vizuri sana kwa mambo ya USAWanajulikana mkuu....
Speaker of the house
Leader of the house minority
Leader of senate majority
Leader of senate minority
Chair of Senate Intel Committee
Ranking member Senate Intel Committee
Chair of House Intel Committee
Ranking member House Intel Committee
Basically viongozi wa bunge kutoka chama tawala na upinzani
Huu ni uandishi wa akina Tundu Lissu. Jazba nyingi hoja hakunaMawazo ya hovyo kabisa haya!
Yaani watu kama akina Ben Saanane hawajulikani walipo kwa takribani miezi 18 sasa; wewe unataka kuaminisha watu kwamba mambo kama hayo yanatokea kwa ajili ya usalama wa taifa?!
Mwandishi wa Mwananchi nae unaenda mwezi wa 4 sasa with unknown whereabouts; halafu unataka kuaminisha watu kwamba, hayo hayapaswi kuhojiwa kwa ajili ya usalama wa taifa!!
Kwa mfano, unaweza kueleza ni aina ipi ya security threat iliyosabishwa na mtu kama Ben Saanane kwa kuhoji PhD ya Mkuu wa nchi?!
Ikiwa Waandishi wa Habari wanaruhusiwa kwenda hadi uwanja wa vita kuripoti vita; ni hatari ipi ya kiusalama ambayo ingesababishwa na Ripota wa Mwananchi kwa kutaka kufuatilia kilichokuwa kinaendelea Kibiti?!
By the way, kila mmoja anafahamu Magaidi wakubwa kabisa waliokuwa wanahatarisha usalama wa Marekani walikuwa wanakamatwa na kupelekwa Guantanamo!
Unaweza kutueleza hapa hao wahatarishaji wakubwa wa usalama wa Tanzania wamezuiwa gereza lipi kwa miezi yote hii?!
Btw, hivi unafahamu tofauti kati ya kulinda taarifa za siri za kiusalama (classified info) na kuficha maovu yaliyofanywa na watu walio kwenye system?
All in all, yote yana mwisho haya na endeleeni kutetea udhalimu kwavile hayajawakuta!
Na uzuri ni kwamba, majority ya watetezi wa udhalimu unaoendelea wala hampo kwenye inner circle, na kwa maana nyingine; hata nyie hampo salama!!
Ikiwa hata Nape ameshawahi kutolewa bastola hadharani; seuze nyie ambao wengine hata kula yenu ni shida!!
Wengine mkikesha kuangalia filamu na tathimlia za kivita na kijasusi kutoka Hollywood, mnadhani tayari ndo mmeshakuwa wataalamu na wachambuzi wa masuala ya kijeshi na kijasusi!
hahahahaaaa mkuu Soldier hawa classmates wako waliendaga wapi? Mbona siku hizi siwaoni humu JF?Beautiful Nkosazana pamoja na Girl Next-door njooni huku
Hakika mkuuMimi nawapongeza wanausalama wote kwa kazi nzito lakini iliyoleta matokeo huko Kibiti.
Nawashauri waendelee kutumia nguvu stahiki kukabiliana na wapuuzi wote wanaotaka kuvunja amani.
Ndio hapo sasa uone namna baadhi ya watanzania walivyo watu wa ajabu sana.Nakumbuka kipindi mauaji yalipokuwa yanaendelea tuliwalaumu polisi sasa kuna amani bado tunataka kuwalaumu.
Rais hafanyiwi kejeli mkuu. Utashtakiwa mahakamani kijana oohoooNa wewe upo kama rais wako kila kitu China,,,,, haya na muwanyonge na mafisadi pia....
Mhhh. Umeandika kwa uoga mkuuKAMA kuna cha kuiga kuzuia tusibague. Isije kuteka ,kutesa n.a. kuua kwa "masilahi ya usalama"n.a. ustawi wa nchi ionekane sahihi n.a. kutolewa mifano hiyo lakini "kuandamana,kukosoa n.a. kupinga" watawala inaonekana ni "uhaini" ilhali kwa hao uliowataja inaruhusiwa. Undumila kuwili n.a. unafiki!
Kwahiyo kwa uelewa wako unaona kuna hoja hapo umeandika?! Kwanini basi usiweke hizo hoja zako ingawaje unaonesha dalili zote kwamba huna huo uwezo, na katu hutakuwa nao!!Huu ni uandishi wa akina Tundu Lissu. Jazba nyingi hoja hakuna
Hili swali muulize Infantry Soldier kwa maana yeye ndiye aliyeanzisha hii madaKwahiyo kwa uelewa wako unaona kuna hoja hapo umeandika?!
Subiri kidogo nitakujibu mkuu Tundu LissuKwanini basi usiweke hizo hoja zako
Hizi ni dharau sasa mkuu. Ninaomba uniombe radhi aiseeunaonesha dalili zote kwamba huna huo uwezo, na katu hutakuwa nao!!
SeenHii wenzetu wanaita "deception by omission", ni kweli hata kwa wenzetu sio kila kitu kinawekwa hadharani, umetoa mfano wa George Tenet, lakini hujasema US Congress wana utaratibu wa kuwa briefed kuhusu classified issues. Umewahi kusikia kitu kinaitwa Gang of Eight? Kama unakijua basi umeamua tu kutosema kila kitu ili utetee point yako; kama hukijui basi ulipaswa kufanya research zaidi.
Wewe ndio wasemaChina China China.. Kwa hiyo Magufuli ni Mao Ze Dong au?
Tena saaaanaNjaa ni hatari sana
Kwa mtazamo wako binafsiBest comment
MhhUlishawahi kumuuliza baba yako amelala na mama yako Mara ngapi ....... *Classified*