Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Tunaongea hivyo labda kwa sababu wale walopatwa na maafa hayo si ndugu zako.
Katika wananchi waliokuwa wanapigwa risasi na magaidi kule Kibiti kuna mmoja ni ndugu yangu, hivyo ninajua namna inavyouma kupoteza ndugu katika mikono ya magaidi...
 
Njoo CCM kumenoga achana na hao sijui CHADEMA mara ACT. Washamba tu wale hawana jipya
 
Njoo CCM kumenoga achana na hao sijui CHADEMA mara ACT. Washamba tu wale hawana jipya
Sipo CHADEMA wala ACT, na sijawahi kuwa kwenye chama chochote maishani mwangu!! Na ni kutokana na ukweli huo, ndio maana you'll rarely find me kwenye mijdala ambayo exclusively ni mijadala ya vyama!

Lakini ingawaje sijawahi kuwepo kwenye chama chochote, naweza kuwaelewa wafuasi wa upinzani wanaopinga utawala wa hovyo kuliko watu aina yenu mnaotetea utawala wa hovyo!!

Hata hivyo, I'm sure hata Tundu au Membe aingie madarakani mwaka huu, akifanya kama afanyavyo Magufuli, NITAMPINGA tu kama ninavyompinga JPM leo hii!!!
 
kwamfano wanasiasa waliopigwa risasi/kupotezwa walikua na madhara gani kwa taifampaka watekwe au kushambuliwa?
mtu kusema tutashitakiwa kufuatia uvunjifu wa mikataba hovyo na mwingine kusema ana 'phd feki' ni makosa yanayo hatarisha amani ya taifa?
Usichokijua ni kwamba chanzo cha yote hayo ni ndani ya chama chenu. Ben kakimbia nchi wala hajafa. Anamkimbia bosi wake.
 
Watu wengi tunaamini sna tambo na Matamko ya wanasiasa wanayoyatoa majukwaani.
Kuchungulia vizuri utaona vita na joto la uchaguzi nchini Marekani jinsi Joe na Trump wavyotupiana maneno na wafuasi wa vyama vyao.
Mauaji ya watu weusi yanatumika kama ngazi kwa pande zote.

Jambo la kweli ni hili nyuma ya wanasiasa serkali na utendaji wake unaendelea..
Wataalam wa kilimo , uchumi mipango ya maendeleo haijasimama majukwaani tunaiona ikienda.
Nchi zote duniani zina namna ya kuhakikisha nchi yao iko salama Mipaka, raia, uchumi na utamaduni wao. Hii ndio kazi ya vyombo vya Usalama.
Vita ya China na nchi zingine pia. China inalinda uchumi wake, kwa mbinu na mikakati yoyote.
Ndio kuna wakati kweli inakumbana na tishio za kufungiwa kunyimwa mahusiano ya kidiplomasia, au kibiashara lkn kama hayo yote yanahujumi usalama wa china wa kizazi kijacho kuna umuhimu gani?
Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio unyonyaji wa kipindi hiki, raia kwa Kichina lazima waelewe hili.
Urusi ilianguka kwa kupandikizwa watu ambao walienda wakiwa wameandaliwa kuangusha mfumo uliokuwepo,
Si ajabu nchi kama China nayo ikawa na Wachina waliosoma au kuelimishwa kuingusha China wakapelekwa wakatengeneza vuguvugu ,harakati, mihemuko hususan kwa rika la vijana ili China isitawalike. Maamuzi ni wao Wachina wenyewe.
Swala la visiwa sasa swala gumu China iendelee kuwa na hivyo Visiwa?
Ikumbukwe China iliwahi kutawaliwa na Japan , ambaye anao muungano wao wa kujihami, japo China ni Huru lkn Watawala wake bado wanamkumbuka China alivyowanufaisha.

China imeamua kuwa na vyombo vya Usalama, kujilinda na ikifanya hivyo ni Vema sana. Kwa kweli ukikamatwa China ukihujumu, iwe kwa madawa au namna iliyo mbaya kwa sera zao UTAUAWA.

Wachina waelewe na kueleweshwa
SIASA ni kitu kingine USALAMA ni kitu kingine.
Tutawashangaa Wachina wakitangaza majukwaani kuwa tunaenda Kuwauwa ,Mapandikizi, Mamuluki,Wasaliti waliko China wale wa nje na wale walipandikizwa ila ni Wachina wenyewe.
Nadhani hata Wachina watakuwa wakiona wengine Wanapotea kimya.
 
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. Jpm baba lao
 
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. Jpm baba lao
JPM Baba Lao au Baba Lenu... sema "JPM Baba Letu"!

Btw, hoja hapa sio Lissu bali ufuasi kwa vyama vya siasa! Huyo Lissu nilimweka tu kama mfano! Ningeweza kumweka hata Mzee wa Ubwabwa provided awe anatoka upinzani!
 
Usichokijua ni kwamba chanzo cha yote hayo ni ndani ya chama chenu. Ben kakimbia nchi wala hajafa. Anamkimbia bosi wake.
Itaje nchi hiyo. Yaan mnataarifa kama hizo kisha serikali iangalie tu ikipakwa matope? Au kumfumbia macho mtu ambaye anahatarisha maisha ya wenzake kama mbowe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…