Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Sawa Infantry Soldier ❗Tunapotafakari nchi kama Tanzania tunapaswa kufanya kazi kubwa kuliko China kuhakikisha usalama na ulinzi ili kupata mafanikio makubwa kwa nchi yetu katika mambo yote dhidi ya maadui zetu wasiotutakia mema walio ndani na nje ya Tanzanai.
 
Hakika mkuu. Tena maadui walio ndani na wenye uraia wa Tanzania wanaweza kuwa ni wengi mnoo kuzidi hata wenye uraia wa nchi za kigeni.
 
Pamoja na yote LAZIMA actions zote kiusalama ziwe accountable to the people au wawakilishi wao.
Otherwise tutatengeneza a monster linalokula watu wake.
Suala in mind ni wasiojulikana.
 
Pamoja na yote LAZIMA actions zote kiusalama ziwe accountable to the people au wawakilishi wao.
Otherwise tutatengeneza a monster linalokula watu wake.
Suala in mind ni wasiojulikana.
Tatizo lenu CHADEMA mnataka kujua hata yasiyowahusu. Mwambie Lissu kwanza arejee kutoka Ubelgiji kwa maana yale ni matumizi mabaya ya ruzuku za chama.
 
Tatizo lenu CHADEMA mnataka kujua hata yasiyowahusu. Mwambie Lissu kwanza arejee kutoka Ubelgiji kwa maana yale ni matumizi mabaya ya ruzuku za chama.
Mkuu mimi si chadema kama unavyofikiri.
Nimelelewa vizuri na chama kutumia akili ya uzalendo na kuwa nchi ni ya wakulima na wafanyakazi.
Tatizo lenu vijana mnafikiri you are an end into itself, ndio maana kama mko kama Sabaya , mambo yanapobadilika msivyotazamia mnalia hadi kamasi hadharani kwa kutoamini kuwa chochote chini ya nchi ni dhamana tu.
Na dhamana hiyo ni kuaminiwa na wananchi.
 
Ni kweli mkuu huwezi tangaza mambo yako hadharani, but to only a select few technocrats wenye dmamana hiyo.
Mkuu, kwa mfano wabunge wa jiji la Dar wanaweza kuomba kujua "Police Informers" wa jiji zima kwa maana wanalipwa kupitia kodi za watanzania. Je, hii ni sahihi kwa waziri wa mambo ya ndani kutoa majina yao?
 
Ha ha ha!
Hiyo ni kama kumwaga senene kati ya kundi la kunguru.
Kwa mfano hai, Operation kama za MKIRU, people care on the end result.
Amani ya nchi kudumishwa na hakuna bla bla hapo.

Hilo halijadiliwi kama maongezi kwenye vikao vya kahawa.
Na najua wazi kuwa wanasiasa wenye dhamana ya usalama wa nchi wali okay operations dhidi ya vikundi vinavyotaka kuangamiza taifa.
 
Safi sana mkuu. Bila shaka sasa umeelewa logic yangu.
 
Mkuu, kwa mfano wabunge wa jiji la Dar wanaweza kuomba kujua "Police Informers" wa jiji zima kwa maana wanalipwa kupitia kodi za watanzania. Je, hii ni sahihi kwa waziri wa mambo ya ndani kutoa majina yao?
Kutoa majina ya informers? Hii ni ngumu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…