Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

kwamfano wanasiasa waliopigwa risasi/kupotezwa walikua na madhara gani kwa taifampaka watekwe au kushambuliwa?
mtu kusema tutashitakiwa kufuatia uvunjifu wa mikataba hovyo na mwingine kusema ana 'phd feki' ni makosa yanayo hatarisha amani ya taifa?
Watu wanatakiwa kuacha umbeaumbea, unasema tutashakiwa tutashtakiwa kama juhavile wakati unajua kabisa hatuwezi kushtakiwa.
Huko ni kuvuruga utulivu wa mipango ya kuinasua nchi kutoka kwenye unyonyaji.
 
Mwendazake alijua kuwanyoosha CHADEMA
 
Back
Top Bottom