Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Sawa mimi ni muongo sana boss ila wewe unajua sana boss [emoji38][emoji38][emoji38]
Tulia basi wee jamaa mbona unaleta vurugu tu humu jukwaani? Au na wewe ni kama Lissu kiwete wa Ubelgiji?
 
Hivi mkuu baada miaka 60 ya utawala wa CCM kufail bado unaendlea kusubiri CCM imara?
Acha kudanganya wenzako wewe. CCM haijawahi kufail hata siku moja. Hizo ni propaganda za Mbowe na wenzake huko CHADEMA
 
😂😂😂😂 aisee
Daima mtaji wa CCM ni wajinga

miaka 60 ya utawala bado nchi ipo katika dimbwi la umaskini bado unabisha kuwa hawaja fail?
Umasikini umejaa CHADEMA ndio maana hata ofisi ya maana hawana wamepanga ndani ya banda la kuku
 
Back
Top Bottom