Binti Abdullah
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 653
- 538
Mzena Hospital ipo Mwanza pale Igoma.Hakuna hospital inaitwa Mzena hapa Tanzania acha uongo wako wee jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzena Hospital ipo Mwanza pale Igoma.Hakuna hospital inaitwa Mzena hapa Tanzania acha uongo wako wee jamaa
Tulia basi wee jamaa mbona unaleta vurugu tu humu jukwaani? Au na wewe ni kama Lissu kiwete wa Ubelgiji?Sawa mimi ni muongo sana boss ila wewe unajua sana boss [emoji38][emoji38][emoji38]
Nini point yako boss??Tulia basi wee jamaa mbona unaleta vurugu tu humu jukwaani? Au na wewe ni kama Lissu kiwete wa Ubelgiji?
Ukurasa huu wa 21 umejaa comments zako tuNini point yako boss??
Unaweza kunitag ili nizione??Ukurasa huu wa 21 umejaa comments zako tu
Sawa mkuuSiwezi kuwa na Imani na TISS, TANPOL na wala JWTZ, yote ni matawi ya CCM. Lolote wanalofanya ni kwa maslahi ya CCM na si vyengine
Bila TISS imara nchi hii itayumba sanaSiwezi kuwa na Imani na TISS, TANPOL na wala JWTZ, yote ni matawi ya CCM. Lolote wanalofanya ni kwa maslahi ya CCM na si vyengine
Uongo huu mkuu. Mzena alikuwa mkurugenzi mkuu wa TBS wakati wa NyerereMzena Hospital ipo Mwanza pale Igoma.
Mzena Hospital ipo Tabata ReliniNa ile Mzena hospital ipo muhimbili??
Kweli mkuu kwenye mambo ya huduma za kibenki itayumba SanaBila TISS imara nchi hii itayumba sana
Bila TISS imara nchi hii itayumba sana
Acha utani Mkuu imehamia lini Tabata kutoka yombo vituka?Mzena Hospital ipo Tabata Relini
Hivi unajua kuwa Tanzania imara inatokana na CCM imara?Hatujawahi kuwa na TISS imara, TISS imeundwa na ipo kwa ajili ya CCM tu. Na ndio moja ya sababu kubwa tunayokwama kama taifa.
Huyo jamaa ni security guard ndio maana muda mwingi yupo JFUkurasa huu wa 21 umejaa comments zako tu
Badilisha hiyo avatar ya Putin tumeichokaNasikia yeye ndiyo primary
Hivi unajua kuwa Tanzania imara inatokana na CCM imara?
Acha kudanganya wenzako wewe. CCM haijawahi kufail hata siku moja. Hizo ni propaganda za Mbowe na wenzake huko CHADEMAHivi mkuu baada miaka 60 ya utawala wa CCM kufail bado unaendlea kusubiri CCM imara?
Acha kudanganya wenzako wewe. CCM haijawahi kufail hata siku moja. Hizo ni propaganda za Mbowe na wenzake huko CHADEMA
Umasikini umejaa CHADEMA ndio maana hata ofisi ya maana hawana wamepanga ndani ya banda la kuku😂😂😂😂 aisee
Daima mtaji wa CCM ni wajinga
miaka 60 ya utawala bado nchi ipo katika dimbwi la umaskini bado unabisha kuwa hawaja fail?