[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] napo sikumbuki mkuu"Kibololoni" uliwahi kukaa pia?
R chugaHahahahaaa huu mkoa upo wapi mkuu?
Taja hizo ID zangu hapa hapaAcha kuingia kwa IDs nyingi haina manufaa yoyote kwako
Ndio wapi hapa?R chuga
Geneva of AfricaNdio wapi hapa?
Unajiuliza na kujijibu mwenyewe? Mtu mmoja una IDs nneTaja hizo ID zangu hapa hapa
Ndiyo unavyoamini?? Wewe sio intelligent kabisa huyo mwenye I'd 4 yupo pembeni anakuchekaUnajiuliza na kujijibu mwenyewe? Mtu mmoja una IDs nne
Honey kwema huko kwa Mzena?Ndiyo unavyoamini?? Wewe sio intelligent kabisa huyo mwenye I'd 4 yupo pembeni anakucheka
Watu wanatakiwa kuacha umbeaumbea, unasema tutashakiwa tutashtakiwa kama juhavile wakati unajua kabisa hatuwezi kushtakiwa.kwamfano wanasiasa waliopigwa risasi/kupotezwa walikua na madhara gani kwa taifampaka watekwe au kushambuliwa?
mtu kusema tutashitakiwa kufuatia uvunjifu wa mikataba hovyo na mwingine kusema ana 'phd feki' ni makosa yanayo hatarisha amani ya taifa?
Sijambo mkuu sijambo sana ila kwa Mzena sipajui kabisaHoney kwema huko kwa Mzena?
Mwendazake alijua kuwanyoosha CHADEMAWatu wanatakiwa kuacha umbeaumbea, unasema tutashakiwa tutashtakiwa kama juhavile wakati unajua kabisa hatuwezi kushtakiwa.
Huko ni kuvuruga utulivu wa mipango ya kuinasua nchi kutoka kwenye unyonyaji.
Kwani Mzena ndio nani? Ni secondary?Honey kwema huko kwa Mzena?
Mzena alikuwaga boss mkuu wa BOTSijambo mkuu sijambo sana ila kwa Mzena sipajui kabisa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mzena alikuwaga boss mkuu wa BOT
Sawa my wanguNimewahi kukaa sehemu nyingi sana ila sikumbuki kama niliwahi kukaa kigoma
Nasikia yeye ndiyo primaryKwani Mzena ndio nani? Ni secondary?
Mzena alikuwaga doctor Muhimbili wakati wa utawala wa Rais Kikwete.Nasikia yeye ndiyo primary
Na ile Mzena hospital ipo muhimbili??Mzena alikuwaga doctor Muhimbili wakati wa utawala wa Rais Kikwete.
Hakuna hospital inaitwa Mzena hapa Tanzania acha uongo wako wee jamaaNa ile Mzena hospital ipo muhimbili??
Sawa mimi ni muongo sana boss ila wewe unajua sana boss [emoji38][emoji38][emoji38]Hakuna hospital inaitwa Mzena hapa Tanzania acha uongo wako wee jamaa