Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee
Daima mtaji wa CCM ni wajinga

miaka 60 ya utawala bado nchi ipo katika dimbwi la umaskini bado unabisha kuwa hawaja fail?
Acha kutukana waliokuzaa. CCM ndio baba wa vyama vyote vya siasa.
 
Umasikini umejaa CHADEMA ndio maana hata ofisi ya maana hawana wamepanga ndani ya banda la kuku

Maeneo yenye yenye umaskini Zaidi Tanzania ni maeneo yenye wafuasi wengi Zaidi wa CCM
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee
Daima mtaji wa CCM ni wajinga

miaka 60 ya utawala bado nchi ipo katika dimbwi la umaskini bado unabisha kuwa hawaja fail?
Kuna siku vijana wa CCM watakupa mimba kwa kushoboka kwako.
 
Ni kweli huwezi kutoa some information kwa kila mbunge kwani wengine watakwenda kuzitoa bar au kwa vimada wao. ukizingatia wengine elimu ni tia maji na wengine 'wakinywa' ni hatare tupu.
 
Ni kweli huwezi kutoa some information kwa kila mbunge kwani wengine watakwenda kuzitoa bar au kwa vimada wao. ukizingatia wengine elimu ni tia maji na wengine 'wakinywa' ni hatare tupu.
Ndio hivyo mkuu. Pia inawezekana baadhi ya wabunge wakawa ni mamluki wa mataifa ya jirani yasiyokuwa na nia njema na Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…