Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa

Tatizo letu hakuna oversight.

Umetoa mfano wa Marekani. Wenzetu wana oversight za kutosha.

Kuna public hearings, kuna classified briefing na kuna briefing wanayopewa Gand of Eight peke yake. Huku hakuna hayo mambo, nani anasimamia hayo mambo.
 
Kama uzalendo ni ku support utekaji na uuaji,siwezi kuwa mzalendo wa aina hii kamwe.nitakuwa kwanza namkosea Mungu,maana utekaji na uuaji ni dhambi.
 
ulishawahi fika kibit
 
Wala cjakuelewa ulichoeleza na ulikuwa na maana gani kwa polisi tz. Cjakusoma kichwa cha habari na maelezo naona haiendani na yaliyomo ndani
 
Acha kutetea utekaji!! Msichukue mifano ya china na marekani kujustify yanayotokea huku kwetu...
Kama umeamua kulinganisha basi tuwekee na mifano ya makosa ya watu waliotekwa china na marekani na wanaotekwa Tanzania utagundua maduduz makubwa tu kama upeo wako ni mkubwa ila kama ni mdogo utaishia kushabikia vitu vya ajabu kabisa
 
kama marekani wangekuwa wanakurupuka hivo mbona wanamkosoa trumph wangepotezwa wengi achilia yule dada aliyesema alimuuzia papuchi na anahojiwa mpaka na média kubwa/ hapa tuuu mtu alihoji msimamizi wa Kituo kuwa sanduku la jura lilibwa na kurudishwa itv wakapigwa béat wakaomba msamaha / we muleta mada acha kufananisha USA na huuu ujinga wa hapa for thé saké of national security / kwa hyo hâta akwilina alikuwa na ttzo gani if that thé case .kifupi sema jiwa kashapasua hili taïfa acha kupotosha
 
Kwaiyo hata vifo wananchi hawana haki ya kujua

Hata ndugu yako atakapokuwa chini ya mikono ya polisi akifa huhitaji kupewa tarifa wanaweza kumtupa tu

Kama nchi imefikia huko utasema upo kwenye utawala bora?
 
Mwalimu wako kakudanya, kichwa chako kimejaa propaganda na unaziamini kwa 100%. Inawezekana ndio maana polisi anaajiri form 4 failures, ni rahisi kuwa brain wash.
 
Ww mleta mada ndio unayehusika na mauaji kisha unaleta mada ya kipuuzi na kuishia kutoa mfano China ili kuhalalisha upuuzi
China America na Nchi zingine hakuna huo unyama bali mleta mada kaja na hicho kioja akidhani watanzania ni wajinga wajinga kama yeye na CCM wenzake, watanzania wameamka wanajua kila kitu Duniani wanajua Tanzania ya sasa si Nchi ya Aman tena, Naibu Rais Maliyamungu Bashite na Mtukufu malaika toka chato wanaendesha Nchi kienyeji watakavyo.
 
Mleta mada atakuwa ni Cyprian msiba kwa sababu Uandishi wake hauna tofauti na ule Uandishi wa kile kigazeti chake chenye chuki na Wapinzani, ukisoma kwa makini unaona Mwandishi ana viashiria vya Tabia zote za Cyprian Msiba ambaye kwa sasa ni kinara wa kuwachafua Wapinzani Tanzania.
 
naona dada anahalalisha mauwaji ya watanzania ili kufanikisha uchu wa watu ya kanda ile...
haya we kafiri tuambie baada ya kuwauwa hao watanzania mmepata maendeleo yepi ?
ukichukua mifano ya USA, Ujerumani basi kule wanaume wanamegwa ila UVCCM pia wapo !.
VITABU VITAKATIFU VIMELAANI MAUWAJI KAMA HAYO
HUYU KAFIRI ANAHALALISHA.
 
Kiwango kidogo cha uelewa wa watanzania ni tatizo kubwa sana kuyaelewa masuala ya usalama wa nchi. Wao kitu rahisi ni kula, kunywa, kulala na kuanza kutukana. Mengine usiwaulize utapoteza mda wako bure.

Wanadhani kuna madhara yatakuja kwa serikali na yasiwafikie wao kokote walipo na ndugu zao. Hawajuhi kuna watu wanahangaika kuwalinda wao na familia zao wakiwa wamelala fofofo kama mizoga wengine wanategua mipango ya siri waliyoivujisha wao wenyewe. Ni sawa na kulikata tawi ulilolikalia ukifikili wewe utakuwa salama
 
Mi kwakweli suala hilo naliunga mkono na umeniwahi tu
 
Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.

Real Soldier
 
Serikali ya kidhalimu na iliyojaa uovu mara zote wao na mawakala wao lazima watafute sababu za kuhalalisha udhalimu na uovu wao!!!

Tundu Lissu ambae mlimmiminia risasi na kutaka kumuua ni gaidi?

Mwandishi wa Mwananchi ambae possibly nae amemiminiwa risasi ni gaidi?

Ben Saanane asiyefahamika aliko na bila shaka nae huenda amemiminiwa risasi ni gaidi?!

Ushetani na damu ya mwanadamu ni chanda na pete kwa sababu makafara ndio ada ya madhalimu ya Kiafrika!! Ni kutokana na ukweli huo ndio maana mnapokosa damu sahihi hamuoni taabu hata kutafuta damu popote pale zilipo kama mlivyopata kufuta damu hadi kwa wasafiri wa daladala na kutandika risasi za kukata kona!!!

Kila mwenye akili timamu anafahamu magaidi ni washenzi na pia wana mioyo ya kishetani iliyojaa uovu utamanio damu za wanadamu!! Ni kutokana na hilo ndio maana hawaoni taabu kuua watu bila kujali wahusika wana hatia au hapana! Wanachotaka wao ni DAMU, basi!

Hivyo ndivyo ambavyo nafsi za kishetani na mawakala wao wangpenda kuona!!!

Kinyume chake, ni serikali ya kidhalimu na iliyojaa roho za kishetani peke yake ndizo zinaweza kufanya mambo yake kwa mtindo ule ule unaofanywa na magaidi wapenda damu bila kujali ikiwa wahusika wana hatia au hapana!!!!

Ni matunda ya kutopewa na udhalimu na roho za kishetani ndio maana pale mawakala wenu wa kutoa roho wanapokosa mtu sahihi wa kumtoa roho, hawaoni taabu kuua hata wao kwa wao kama ambavyo Wakala mmoja wa mauaji alipomchomolea bastola Nape Nnauye na kutaka kumtoa roho wakati ni "mtoto wao!"
 
Hamna mwanausalama Mjinga na mpumbafu mwenye kufanya vitu ambavyo ww unahisi walivifanya bila ya kuwa hata na uhakika, hata kama vilifanywa na wao they know why ,ila kwa kuwa cc na ww hatujui nn kilijili mpaka ikawa hivyo tusiwe wepesi wa Ku judge,
Ikumbukwe ya kuwa mambo ya kibiti yalikuwa ni matokeo tu, we never under cover what exactly is !

Ijulikane wazi tu kuwa hamna hata mmoja anaependelea mauaji yafanyike ama yatokee, hapa vyombo vya usalama ni lazima vilaumiwe tu kwa sababu tu yakuwa ni wajibu wao kuhakikisha usalama wa wananchi na mali zao ziko safe.
Lkn ikumbukwe hata ajali ambazo huwa zinatokea haina haya ya kumlaumu derever pekee, pengine ajali yawezekana ikawa imesababishwa na vitu vingne kama Ubovu wa Barbara, Gari lenyewe ama pengine derever mwenzake kamgonga na kusababisha ajali, lkn cha ajabu Drever pekee hulaumiwa peke ake,
Jifikirishe sana haya mambo sio simple kihivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…