LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
kama ni hivo bunge la nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi siko hapa kufurahisha watu.Mleta mada amesema hayupo hapa JF kufurahisha watu
Kama uzalendo ni ku support utekaji na uuaji,siwezi kuwa mzalendo wa aina hii kamwe.nitakuwa kwanza namkosea Mungu,maana utekaji na uuaji ni dhambi.UTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.
Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.
Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED.
KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.
ulishawahi fika kibitMimi nawapongeza wanausalama wote kwa kazi nzito lakini iliyoleta matokeo huko Kibiti.
Nawashauri waendelee kutumia nguvu stahiki kukabiliana na wapuuzi wote wanaotaka kuvunja amani.
Nakumbuka kipindi mauaji yalipokuwa yanaendelea tuliwalaumu polisi sasa kuna amani bado tunataka kuwalaumu.
Wala cjakuelewa ulichoeleza na ulikuwa na maana gani kwa polisi tz. Cjakusoma kichwa cha habari na maelezo naona haiendani na yaliyomo ndaniUTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.
Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.
Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED.
KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.
China America na Nchi zingine hakuna huo unyama bali mleta mada kaja na hicho kioja akidhani watanzania ni wajinga wajinga kama yeye na CCM wenzake, watanzania wameamka wanajua kila kitu Duniani wanajua Tanzania ya sasa si Nchi ya Aman tena, Naibu Rais Maliyamungu Bashite na Mtukufu malaika toka chato wanaendesha Nchi kienyeji watakavyo.Ww mleta mada ndio unayehusika na mauaji kisha unaleta mada ya kipuuzi na kuishia kutoa mfano China ili kuhalalisha upuuzi
Mleta mada atakuwa ni Cyprian msiba kwa sababu Uandishi wake hauna tofauti na ule Uandishi wa kile kigazeti chake chenye chuki na Wapinzani, ukisoma kwa makini unaona Mwandishi ana viashiria vya Tabia zote za Cyprian Msiba ambaye kwa sasa ni kinara wa kuwachafua Wapinzani Tanzania.Mtoa huu uzi kwa maandishi yake tu, itoshe kumjua ni mmoja wa waunga mkono wa utekaji na uuwaji wa watu wasiyo na hatia Nchini! Aina ya watu wa hivi, siyo wa kuwafurahia kbsa, Akili zao zimejikita ktk umwagaji damu kwa ghalama yoyote ilimradi ni kuulinda utawala dharimu. Mifano unayoitoa kutoka CHINA ni mwendelezo ule ule wakutuonesha ulivyokatili! China ni Nchi ya kutolea mfano!? Hii Nchi kidemokrasia haiko salama, ugandamizaji na uuwaji kwa wale wanaoikosoa Serikali, ni kipao mbele chao cha kudumu. Swala hapa ni kwamba, Serikali ya CCM, iachane na utawala wa chuma, iache kuua watu hovyo! Siasa za kigaidi zilishapitwa na wakati, wawaachie kazi hiyo Al-shabab, Al-Quida na Boko haram. Ni aibu kubwa kuona Nchi iliyohuru na kihistoria ilikuwa na Rais aliyepinga Dunia nzima mauwaji ya wanadamu kiholela ssa ndiyo inajipanga kuwa Nchi ya umwagaji Damu tena kwa Raia wake wenyewe, hii ni laana kubwa!
Mi kwakweli suala hilo naliunga mkono na umeniwahi tuUTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.
Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.
Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED.
KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.
Serikali ya kidhalimu na iliyojaa uovu mara zote wao na mawakala wao lazima watafute sababu za kuhalalisha udhalimu na uovu wao!!!Gaidi au mhalifu haitaji kubembelezwa...walipouawa viongozi wa chama na Serikali sikuwaona hapa mkilaani sanasana mlisema acha wakomeshwe ....Jeshi limeenda kuwakomesha wahusika na sasa pako shwari ndio mnaanza kutuletea porojo za haki za binadamu.
Dawa ya terror ni more TERROR ....ndio maana Kibiti,Arusha,Amboni na kwingineko pametulia.
Hamna mwanausalama Mjinga na mpumbafu mwenye kufanya vitu ambavyo ww unahisi walivifanya bila ya kuwa hata na uhakika, hata kama vilifanywa na wao they know why ,ila kwa kuwa cc na ww hatujui nn kilijili mpaka ikawa hivyo tusiwe wepesi wa Ku judge,Kwahiyo kupiga watu risasi na kuwaua bila kuthibitisha kwamba wanahusika ndo amani hiyo?!
Hongera kwa kuwa mfuasi mtiifu ambayo baada ya kushindwa kupambana na rushwa imegeuka kuwa ya kufanya mauaji bila kuthibitisha hatia!
Binafsi ningejisikia aibu kuwa mfuasi kindakikindaki wa serikali "iliyochaguliwa" huku ikitekeleza hukumu zake sawa na wanavyofanya Magaidi hatari duniani!
Hata Beberu Kuu Marekani, huwa anakamata Magaidi hatari kabisa, kuwahoji na kuwapeleka Guantanamo ili mradi tu wajiridhishe ikiwa wanahusika na tuhuma tajwa!
Tena basi wanafanya haya kwa watu ambao majority wala sio raia wake!
Na hata walio raia wake; majority wala sio raia wa asili but still they wanafahamu huwezi kukamata mtu na kummiminia mvua ya risasi simply because taarifa za kiusalama zilimtilia shaka mhusika au mhusika alitajwa!!
Na ndio maana haikushangaza kuona kwamba miongoni mwa waliotajwa hawakuwa na hatia na hivyo kuachiliwa huru!
Kinyume chake leo tuna serikali ambayo mtu kutajwa tu inatosha kupewa hukumu ya kifo bila hata ya kufanya intensive investigation!!
Mungu awalaani wote wanaotetea ushenzi na udhalimu kama huu kwa sababu yoyote ile!
Wananchi wanalipa kodi ili majeshi yetu yaweze kulipwa mishahara ili hatimae watumie weledi wao kuhakikisha haki inatendeka!
Unapokuwa na majeshi yanayofanya kazi kwa staili ile ile inayofanywa na Magaidi then hapawezi kuwa na tofauti kati ya Magaidi na askari wanaolipwa ili kulinda Wananchi!!
Kwa hakika nchi inahitaji maombi!
Kwa mawazo kama haya unafikiri tunakwenda wapi?Huku kwetu siasa ndio kila kitu Rais ndio kila kitu wakati kwao Rais ni Head to wa Executive Branch