Wabunge wa Tanzania wajue sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa



!
!
Mkuu Akikujibu Naomba Unitag
 
Sio kila upelelezi ni rahisi kufanyika mara moja. It might takes years. Inawezekana amekimbia nchi ama magaidi wamemteka. Ndio maana IGP anasema mtu yeyote mwenye taarifa zitakazoweza kuisaidia police apeleke
You don't believe that, do you?!

If you do, unaweza kutengeneza theory ya kwanini inawezekana awe amekimbia nchi au awe ametekwa na magaidi?!

Btw, huyo IGP alikuwa anaitaka taarifa ipi asiyoifahamu?! Ben Saanane wanahitaji watu wawape taarifa; what about Tundu aliyenusurika kuuawa ndani ya government compound inayolindwa na serikali wenyewe?!

Hapa napo wanahitaji mtu awapelekee taarifa wakati security system is within their control?!

Tell you what; nyie endeleeni tu kutetea udhalimu unaofanyika kwa sababu tu waathirika wa huo udhalimu sio nyinyi! But trust me, popote penye udhalimu; no one is safe!

Leo mtu anaweza kuwa kwenye system na akadhani yanayotokea hayawezi kumkuta lakini uzoefu unaonesha kwamba; udhalimu una silika ya kisasi!

Kama si kisasi hapa hapa duniani kama ilivyotokea kwa akina Sadam Hussein basi itakuwa kisasi cha jahanam kwa wale wanaoamini!
 
Ben Saanane hajulikani kapotea potea vp. Uchunguzi bado unaendelea. Acheni vyombo vya dola viendelee na kazi yao, kwanini mnaingilia upelelezi??
Basi sawa; Ben Saanane hajulikani kapotea potea vp!! Ina maana na Tundu Lissu nae haijulikani alitaka kuuawa uawa vipi?!

Hivi ikiwa hadi leo "wameshindwa" kuwatambua waliotaka kumuua Tundu Lissu licha ya tukio kutokea kwenye viunga vya serikali na vinavyolindwa na serikali! Halafu leo ndo mtuambie within days waliweza kuwatambua waliokuwa wanafanya mauaji huko MKIRU na katu hawakufanya kosa kwa kuwahusisha wasio na hatia!
 
Ukiacha reference za jf,unauthibitisho upi kuwa kuhoji PhD ndiko kulikomfanya Ben apotee?
Wapi nimetoa JF as a reference? Nini kimekufanya udhani reference yangu ni JF wakati hata platform yenyewe aliyokuwa akiitumia kujadili haikuwa JF?!
 
Wapi nimetoa JF as a reference? Nini kimekufanya udhani reference yangu ni JF wakati hata platform yenyewe aliyokuwa akiitumia kujadili haikuwa JF?!
Basi tuyaache ya platform, vipi unaweza kuja na ushahidi wa madai yako?
 
Wewe ni msemaji wa uchina?
Kwa hiyo china= tanzania?
Au mie ndio sikuelewi..!!
 
Pole sana ulitamani wasijulikane ili muendelee kuyaua yale mnayoyaita MaCCM..?[emoji18]
 
Na unaamini kisasi kwa sadam hussein bila shaka unaamini kisasi pia kwa Muamal Ghadafi.
Kisha wanaolipa hicho kisasi ni wamarekani na washirika wao kwa kisingizio cha demokrasi..!

Ama kweli yajayo yanafurahisha..
 


KWA HALI HII CCM INACHOCHEA VITA VYA KIDINI

 
Usalama wa raifa wa Africa huwezi fananisha na wa Marekani hata kidogo. Wale hawafanyi kazi ya mtu fulani au chama fulani. Wale wanafanya kazi za taifa. Hebu fikiria usalama wa taifa wa Iddi Amin, Mengisto haile Mariam, Samwel Doe, Mobuto seseko, Charles Toylor, Omar Al Bashir nk.
Usichanganye mamvo hayo
 
Na unaamini kisasi kwa sadam hussein bila shaka unaamini kisasi pia kwa Muamal Ghadafi.
Kisha wanaolipa hicho kisasi ni wamarekani na washirika wao kwa kisingizio cha demokrasi..!

Ama kweli yajayo yanafurahisha..
Haijalishi kisasi hicho kitatokea wapi lakini kilicho dhahiri ni kwamba; udhalimu una silika ya kisasi!!

Hapakuhitajika Wamarekani ili silika ya kisasi dhidi ya udhalimu kuwarudia Samuel Doe, Foday Sankoh, Mohammed Farrah Aidid na wengineo!

Wala Tanzania hatukuhitaji Mmarekani kuhitimisha udhalimu wa Idd Amin!!
 
Very sad, halafu unafanya haya kwa raia wako.
 
Mfano mzuri sana na nchi ni kubwa mpaka leo bado uko stable
 
Mawazo ya hovyo kabisa
Wenzenu ktk Chama wanajua kinachoendelea nyie Kazi yenu kupiga kelele mitandaoni hivi wewe unajua zaidi kuliko Mbowe na Kubenea?
 
Mkuu chige, umeandika mengi lakini usitegemee hao maharamia wenye kuwa na lengo la kuua au kukata vichwa vya watu wakakamatwa na kuhojiwa kwa upendo kama vile maharusi wanavyoingia ukumbini.

Haramia ni mshenzi tu, hivyo kushughulika nae sio vibaya zikatumika mbinu za kishenzi. Maharamia walikata vichwa vya wanafunzi wa kule Gharissa, wasichana wamesaafiri kwenda mji mwingine kwa nia ya kutafuta elimu wanachinjwa kinyama kabisa!!.

Halafu hao mapunguani wanaowachinja wanafunzi eti wakamatwe kistaarabu, No way my friend.
 
Huu ujinga huu, kwa hiyo mtu akipotea tusihoji? Au akiuawa tusihoji? Yan polisi wamemuua Akwilina, au wamemchoma ndugu wa mbunge wa upinzani kisu hadi wakamwua, au wamemshambulia mbunge wa upinzani kwa kutumia silaha za kivita tukae kimya tu tusihoji? Tutakuwa taifa la wajinga sana ambalo ni wazi Magufuli ndo analitaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…