Sio kila upelelezi ni rahisi kufanyika mara moja. It might takes years. Inawezekana amekimbia nchi ama magaidi wamemteka. Ndio maana IGP anasema mtu yeyote mwenye taarifa zitakazoweza kuisaidia police apeleke
Mkuu jngalao, wanasiasa hupenda kutafuta sifa za muda mrefu na mfupi. Hawa waliokuwa wanawakejeli polisi na usalama wa taifa, walikuwa wanazisaka sifa za muda mfupi.Mimi nawapongeza wanausalama wote kwa kazi nzito lakini iliyoleta matokeo huko Kibiti.
Nawashauri waendelee kutumia nguvu stahiki kukabiliana na wapuuzi wote wanaotaka kuvunja amani.
Nakumbuka kipindi mauaji yalipokuwa yanaendelea tuliwalaumu polisi sasa kuna amani bado tunataka kuwalaumu.
Hahahahahaaaaa!!!!!Relax Mimi nasimama kwenye ukweliMpaka na wewe unaunga mkono hoja leo? Makubwa....
UTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.
Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.
Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED.
KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.
Huwezi kufananisha utendaji wa CIA na TISS,TISS inafanya kazi kwa kuamriwa na Rais na kwa maslahi ya CCM.UTANGULIZI

Infantry Soldier amekufanya ume panic boss. Haya mambo hayahitaji hasira boss
Kama watu walipita kote na kufika sehemu husika, nazani ni utoto kuto ulizaTatizo wanasiasa wetu wengi wao wanadhani ni haki yao kufahamu kila jambo linalohusu usalama . Mambo ya usalama waachiwe polisi,TISS, JWTZ etc wafanye kazi yao wao waendelee kupiga kelele
Ulishawahi kumuuliza baba yako amelala na mama yako Mara ngapi ....... *Classified*Kama watu walipita kote na kufika sehemu husika, nazani ni utoto kuto uliza View attachment 927895
Ulishawahi kumuuliza baba yako amelala na mama yako Mara ngapi ....... *Classified*
Kuna mambo mengine hata ukiyajua hayana msaada kwako. Badala yake yanakuwa ni hatari kwa usalama wa nchi ....naona mifano kama hii itakufaa zaidi, mleta mada ameshakutolea mfano still bado wewe huelewi . Lazima upewe mifano ambayo inalingana na upeo wa akili yakoKama wewe umepatikana unauliza nini sasa.
Usiwe na mifano ya mfu
Usalama huu au? Kwa mifano yake kwa Tanzania hatufiti hata kidogo.Kuna mambo mengine hata ukiyajua hayana msaada kwako. Badala yake yanakuwa ni hatari kwa usalama wa nchi ....naona mifano kama hii itakufaa zaidi, mleta mada ameshakutolea mfano still bado wewe huelewi . Lazima upewe mifano ambayo inalingana na upeo wa akili yako
Wewe ni nani??[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Infantry Soldier amekufanya ume panic boss. Haya mambo hayahitaji hasira boss
China China China.. Kwa hiyo Magufuli ni Mao Ze Dong au?UTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.
Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.
Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED.
KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.
You're in the same path with the OP.Tatizo letu wengi wanakuja na majibu yao ambayo yapo negative.Usalama wa taifa. Si kila kitu ujue. Na Sio kila anaye potea ni watu wa usalama, matapeli pia wamo. Watu wamesahau kuwa kibiti sio POLICE na usalama walikuwa wakipambana na raia. Walikuwa wakipambana wasiojulikana (kawaida)wale waliokuwa wakiwaua watu wabunge wamewasahau.