City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Kuwashughulikia watu kwa sababu za usalama wa taifa ni jambo zuri, lakini kuwashughulikia kwa maslahi ya kisiasa si jambo zuri kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuunga mkono mkuu.UTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.
Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.
Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED.
KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.
Marekani na washariki wake kushambulia Libya na kuumua Gadafi, unahisi walikuwa wanalinda MASLAHI ya Wamarekani au walibya? Ukinijibu tutaendelea zaidiSerikali ya kidhalimu na iliyojaa uovu mara zote wao na mawakala wao lazima watafute sababu za kuhalalisha udhalimu na uovu wao!!!
Tundu Lissu ambae mlimmiminia risasi na kutaka kumuua ni gaidi?
Mwandishi wa Mwananchi ambae possibly nae amemiminiwa risasi ni gaidi?
Ben Saanane asiyefahamika aliko na bila shaka nae huenda amemiminiwa risasi ni gaidi?!
Ushetani na damu ya mwanadamu ni chanda na pete kwa sababu makafara ndio ada ya madhalimu ya Kiafrika!! Ni kutokana na ukweli huo ndio maana mnapokosa damu sahihi hamuoni taabu hata kutafuta damu popote pale zilipo kama mlivyopata kufuta damu hadi kwa wasafiri wa daladala na kutandika risasi za kukata kona!!!
Kila mwenye akili timamu anafahamu magaidi ni washenzi na pia wana mioyo ya kishetani iliyojaa uovu utamanio damu za wanadamu!! Ni kutokana na hilo ndio maana hawaoni taabu kuua watu bila kujali wahusika wana hatia au hapana! Wanachotaka wao ni DAMU, basi!
Hivyo ndivyo ambavyo nafsi za kishetani na mawakala wao wangpenda kuona!!!
Kinyume chake, ni serikali ya kidhalimu na iliyojaa roho za kishetani peke yake ndizo zinaweza kufanya mambo yake kwa mtindo ule ule unaofanywa na magaidi wapenda damu bila kujali ikiwa wahusika wana hatia au hapana!!!!
Ni matunda ya kutopewa na udhalimu na roho za kishetani ndio maana pale mawakala wenu wa kutoa roho wanapokosa mtu sahihi wa kumtoa roho, hawaoni taabu kuua hata wao kwa wao kama ambavyo Wakala mmoja wa mauaji alipomchomolea bastola Nape Nnauye na kutaka kumtoa roho wakati ni "mtoto wao!"
Kwa sheria za Tanzania ni mahakama peke yake ndiyo inayoweza kuamua ikiwa mtuhumiwa ana hatia au vinginevyo!!Hamna mwanausalama Mjinga na mpumbafu mwenye kufanya vitu ambavyo ww unahisi walivifanya bila ya kuwa hata na uhakika, hata kama vilifanywa na wao they know the why ,ila kwa kuwa cc na ww hatujui nn kilijili mpaka ikawa hivyo tusiwe wepesi wa Ku judge,
Ikumbukwe ya kuwa mambo ya kibiti yalikuwa ni matokeo tu, we never under cover what exactly is !
Ijulikane wazi tu kuwa hamna hata mmoja anaependelea mauaji yafanyike ama yatokee, hapa vyombo vya usalama ni lazima vilaumiwe tu kwa sababu tu yakuwa ni wajibu wao kuhakikisha usalama wa wananchi na mali zao ziko safe.
Lkn ikumbukwe hata ajali ambazo huwa zinatokea haina haya ya kumlaumu derever pekee, pengine ajali yawezekana ikawa imesababishwa na vitu vingne kama Ubovu wa Barbara, Gari lenyewe ama pengine derever mwenzake kamgonga na kusababisha ajali, lkn cha ajabu Drever pekee hulaumiwa peke ake,
Jifikirishe sana haya mambo sio simple kihivyo.
Kwanini nijibu hoja isiyohusiana na nilichoandika?!Marekani na washariki wake kushambulia Libya na kuumua Gadafi, unahisi walikuwa wanalinda MASLAHI ya Wamarekani au walibya? Ukinijibu tutaendelea zaidi
Huwa najiulizaga nini kilitaka kutokea MKIRU? Sijapataga majibu! Ni kikundi cha kigaidi kilitaka kuchomozea Kibiti? Au kikundi cha uamsho kilikuwa na base yake huko? Ilikuwakuwaje hili jambo likamea namna ile hadi ikawa mauaji ya kutisha? Tena askari wetu wakawa wanauawa? Kukua kwake ilikuwa ni weakness ya vyombo vyetu vya usalama au ni politically motivated? Wanasiasa wakubwa kufaidika na mauaji yale kama ilivokuwa kwa Joseph Konyi, kila wakati Mseveni akawa anasingizia bado anahitajika madarakani ili kutokomeza akina Konyi! Miaka na miaka vita ikadumu kaskazini mwa Uganda huku Mseveni akiwa relaxed! Napenda kujua nini kilitaka kutokea MKIRU na tulifikaje stage ile kama nchi? Nchi yenye vyombo vya usalama kuanzia TISS, Polisi hadi JW?Mimi nawapongeza wanausalama wote kwa kazi nzito lakini iliyoleta matokeo huko Kibiti.
Nawashauri waendelee kutumia nguvu stahiki kukabiliana na wapuuzi wote wanaotaka kuvunja amani.
Nakumbuka kipindi mauaji yalipokuwa yanaendelea tuliwalaumu polisi sasa kuna amani bado tunataka kuwalaumu.
Siasa za ukada na ukanda! Hatari sana.....tuendako maridhiano ya kitaifa yatahijika sana ili kurudisha mshikamano na udugu kama Taifa. Kwa sasa taifa limeparaganyika na bahati mbaya anayetakiwa kuunganisha taifa kisaikolojia yeye ni shabiki namba moja wa ukada na ukanda badala yake anaamini mshikamano utakaosimamiwa kwa mkono wa chuma na jeshi pamoja na vyombo vingine vya usalama. So sad.Kisa siasa za ukada!!
Wewe umejuaje hayo wakati kiwango cha uelewa wako kama mtanzania ni mdogo? Au wewe siyo mtanzania? Ujinga mwingine ni mzigo!Kiwango kidogo cha uelewa wa watanzania ni tatizo kubwa sana kuyaelewa masuala ya usalama wa nchi. Wao kitu rahisi ni kula, kunywa, kulala na kuanza kutukana. Mengine usiwaulize utapoteza mda wako bure.
Wanadhani kuna madhara yatakuja kwa serikali na yasiwafikie wao kokote walipo na ndugu zao. Hawajuhi kuna watu wanahangaika kuwalinda wao na familia zao wakiwa wamelala fofofo kama mizoga wengine wanategua mipango ya siri waliyoivujisha wao wenyewe. Ni sawa na kulikata tawi ulilolikalia ukifikili wewe utakuwa salama
Unajua sababu kwa nini gereza la guantanamo bay lilianzishwa nje ya nchi ya marekani?UTANGULIZI
=======
Baada ya tukio la September 11 mwaka 2001, aliyekiwa director wa CIA kwa wakati huo aliitwa mbele ya bunge la marekani na kuhojiwa na bunge.
Moja kati ya maswali aliyoulizwa ni kuwa kuna uhusiano gani wa kiutendaji wa kazi kati ya idara ya ujasusi ya jeshi (Military Intelligence) na CIA katika kuzuia matukio ya uhalifu na kigaidi kutokea ndani ya marekani. CIA director alitoa jibu moja tu kwa kusema "that information is classified" baaaas hakuendelea tena. Not every aspect of state security should be clarified to politicians
MAONI YANGU BINAFSI KUHUSIANA NA SUALA LA KUCHUKUA WATU MATEKA WITH REFERENCE TO CHINA.
=============
Si kila mwenye uraia wa China ni mtu salama kwa maslahi mema na ustawi wa nchi hiyo.
Nchi ya China ina maadui wa ndani pamoja na nje wanaopanga mipango ya kuidhoofisha kila saa na kila dakika. Hivyo ni kazi ya vyombo vya dola kuwatambua na kuwadhoofisha kama sio kuwamaliza kabisa kabla hawajaleta madhara makubwa kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Huyo mtu adui anaweza kuwa hata ni ndugu yangu mimi au ndugu yako wewe wa karibu lakini mimi na wewe tusiwajue ila wataalam wa mambo ya usalama wa nchi husika wakawajua mpaka njama zao.
Hivyo suala la watu kuchukuliwa mateka na kuhojiwa kwa nchi kama China ni kitu kisichoepukia kwa nchi kutaka kujilinda na kusonga mbele.
Hizo nchi mnazoziona zimeendelea na mnahisi zina viwango vya juu sana vya haki za binadamu na demokrasia kama Marekani, German, Uingereza na hata Japan zipo katika kiwango hicho cha maendeleo si kwa bahati mbaya. Hapana. Idara zao za usalama ni wakali sana. Unafikiri hawafanyiwi hujuma hao jamaa? Unafikiri serikali zao hazina vikosi za kuchukua mateka (abduction squads)??? Wanavyo. Tena wapo very sophisticated, equipped with modern weaponry and techniques.
Nchi ya China ina maadui wanaofanya kazi muda wote kutaka kuihujumu politically, economically hata socially pia (kueneza mienendo itakayoweza kupelekea mmomonyoko wa maadili hata kuua uzalendo miongoni mwa watanzania kama nyimbo za kuua uzalendo kwa vijana zinawezekana ni brainwashing song kwa vijana ili kuhujumu akili zao kwa manufaa ya baadae) na maadui hao wanaweza kuwa ni watu wenye uraia wa China (walio ndani na nje) ama wasio wa China (walio ndani na nje ya nchi) wanaotaka kuwatumia raia wa China kudhoofisha nchi yao pasipo wao raia kujua ama kwa kujua na kuwapa rushwa na wapo ndani pia nje ya nchi ya China.
Kwa hiyo issue ya abduction squads ipo hata marekani na uingereza na ni muhimu sana kwa nchi kujilinda, sembuse China.
Police hawapaswi kuwa wapole. Tofautisheni vituo vya police na nyumba za ibada. Police kuwa wakali inasaidia hata mtu akitaka kutenda kosa lazima awaze mara mbili mbili itakuwaje kama akipelekwa police hivyo ana ahirisha kutenda uhalifu.
Sipo JF kufurahisha. Nipo hapa kufafanua ninayoyajua akilini mwangu.
I STAND TO BE CORRECTED.
KIJANA KUWA MZALENDO, PENDA TANZANIA.
Sheria ya ugaidi,sheria ya uhaini zilitungwa za nini? Katiba kusema kila mtu hana hatia mpaka itakapothibitishwa na mahakama ilikosewa?Infantry soldier ,Una utashi kama wangu,you surpassed tactical points.
Anaelewa atakuwa ameelewa ,naomba uwe unanitagi pia kwenye hizi maada.
Mengine tubishane tu ila kwenye usalama wa Tz Yangu nipo rigid ,
Naipenda Nchi Yangu.
Mkuu, hawa waliosumbuwa watu kule Kibiti wapo mpaka kule Msumbiji, ni network ya watu wenye msimamo mkali.Kwahiyo kupiga watu risasi na kuwaua bila kuthibitisha kwamba wanahusika ndo amani hiyo?!
Hongera kwa kuwa mfuasi mtiifu ambayo baada ya kushindwa kupambana na rushwa imegeuka kuwa ya kufanya mauaji bila kuthibitisha hatia!
Binafsi ningejisikia aibu kuwa mfuasi kindakikindaki wa serikali "iliyochaguliwa" huku ikitekeleza hukumu zake sawa na wanavyofanya Magaidi hatari duniani!
Hata Beberu Kuu Marekani, huwa anakamata Magaidi hatari kabisa, kuwahoji na kuwapeleka Guantanamo ili mradi tu wajiridhishe ikiwa wanahusika na tuhuma tajwa!
Tena basi wanafanya haya kwa watu ambao majority wala sio raia wake!
Na hata walio raia wake; majority wala sio raia wa asili but still they wanafahamu huwezi kukamata mtu na kummiminia mvua ya risasi simply because taarifa za kiusalama zilimtilia shaka mhusika au mhusika alitajwa!!
Na ndio maana haikushangaza kuona kwamba miongoni mwa waliotajwa hawakuwa na hatia na hivyo kuachiliwa huru!
Kinyume chake leo tuna serikali ambayo mtu kutajwa tu inatosha kupewa hukumu ya kifo bila hata ya kufanya intensive investigation!!
Mungu awalaani wote wanaotetea ushenzi na udhalimu kama huu kwa sababu yoyote ile!
Wananchi wanalipa kodi ili majeshi yetu yaweze kulipwa mishahara ili hatimae watumie weledi wao kuhakikisha haki inatendeka!
Unapokuwa na majeshi yanayofanya kazi kwa staili ile ile inayofanywa na Magaidi then hapawezi kuwa na tofauti kati ya Magaidi na askari wanaolipwa ili kulinda Wananchi!!
Kwa hakika nchi inahitaji maombi!

Hapa hatuzungumzii jinsi walivyopambana nao bali tunazungumzia jinsi walivyo-handle Watuhumiwa!Mkuu, hawa waliosumbuwa watu kule Kibiti wapo mpaka kule Msumbiji, ni network ya watu wenye msimamo mkali.
Jinsi gani wanavyokamatwa na kushughulikiwa, sio jambo ambalo waziri au IGP anaweza kujitokeza hadharani na kuelezea, ndio maana mojawapo ya classified information.
CIA au FBI hawawezi hata siku moja kuwaonyesha wamarekani namna wanavyopambana na uharamia wa chini kwa chini, utakuja kugundua miaka kadhaa baadae kupitia video clips za Youtube.
Kwa hiyo usidhani kwamba uwazi na demokrasia ni mambo ambayo yapo kwenye kila nyanja ya maisha, wakati mwingine usiri kwenye mapambano mazito ya kiharamia ni muhimu sana ukawepo kwa faida yako na ya kwangu.
Nyie watu tangu torrents zianze kuachia pirated movies na series na za bure na mkaja kulifahamu neno "Classified" basi ni taabu tupu!!Kujadili suala la usalama wa taifa ni kujipotezea muda, kwa always and will always be classified.
Usalama wa Taifa wanaweza kuua, kulemaza, ama kufanya lolote linalowezekana ili Nchi iwe salama.
Kama ikitokea ndugu yako anajihusisha na masuala yanayohtarisha usalama wa Nchi bola tu mmwonye mapema. Akigundulika na akashindwa kutoa ushirikiano always atadiappear tu au kuna namna mbaya itafanywa ili kumnyamazisha.
Issue ya usalama wa Taifa ni very sensitive. Kosa moja nchi inaangamia. Mbona hata ushahidi upo tena humu humu Nchini.
Mtoa maada yupo sawa japo watu wengine hutumia mwanya wa usalama wa Taifa kuwapoteza watu wasio na hatia.
Usalama wa Taifa is a very serious thing than any of us who are not them can imagine. And those guys take the real risk to make it happen. Ndio maana ukiwafanyia ujinga wanakupoteza tu na Nchi inaendelea kuwa na amani. Narudia tena kusema siasa ikiingiamo ni rahisi kuabuse majukum ya usalama wa Taifa.
Salute kwako!UTANGULIZI