Wabunge wa Tanzania wameanza kutuma Salamu kwa wanaharakati asante Mbunge Kingu

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Nimeheshimu mchango kutoka kwa Mbunge mmoja kijana kutoka Singida.

Mbunge Kingu kwani ameipeleka salamu nzito kwa walio nyuma ya wanaharakati uchwara wanaolipwa kuiharibu Tanzania
 
Tunasubiri akaokoe Jahazi maana Kenya wamemvua nguo chura kiziwi na wamempa mpaka ujauzito aka mimba bila ridhaa yake. Tafadhali kingi kaokoe Jahazi ila ujue watz wote tupo nyuma ya wa254
 
Wabunge wenyewe hatuwapendi hatuwataki hatujawachagua hatuko nyuma yao Yani wao na gvt yao wanaelea wanabebwa na dola huku chini hatutaki hata kuwaona kwanza wengi hatuwajui kwa sura na majina.
 
Nimeheshimu mchango kutoka kwa Mbunge mmoja kijana kutoka Singida.

Mbunge Kingu kwani ameipeleka salamu nzito kwa walio nyuma ya wanaharakati uchwara wanaolipwa kuiharibu Tanzania
Ngoja na yeye atukanwe na akaunti zake za zidukuliwe tujue anaficha wapi hela.
 
Nimeheshimu mchango kutoka kwa Mbunge mmoja kijana kutoka Singida.

Mbunge Kingu kwani ameipeleka salamu nzito kwa walio nyuma ya wanaharakati uchwara wanaolipwa kuiharibu Tanzania
kingu huwa anakurupukaga sana yule mbunge ni chawa mpevu. Tusitake kujibizana na majirani tutaonekana ni makenge
 
Tunasubiri akaokoe Jahazi maana Kenya wamemvua nguo chura kiziwi na wamempa mpaka ujauzito aka mimba bila ridhaa yake. Tafadhali kingi kaokoe Jahazi ila ujue watz wote tupo nyuma ya wa254
Hiyo imethibitisha kuwa Wakenya wako AHEAD of Wadanganyika. Wakenya wako juu kwene Teknolojia kwa kuweza kuingilia mifumo ya Polisi na X by HACKING.
Mtu anayeweza kuingia chumbani unakolala na mkeo lazima umuheshimu sana. Ndicho walicho onesha Wakenya kwa Wadanganyika.

Sijui kama watu mnaelewa???
 
Nimeheshimu mchango kutoka kwa Mbunge mmoja kijana kutoka Singida.

Mbunge Kingu kwani ameipeleka salamu nzito kwa walio nyuma ya wanaharakati uchwara wanaolipwa kuiharibu Tanzania
Ni kijana? Ana miaka mingapi?
 
Nimeheshimu mchango kutoka kwa Mbunge mmoja kijana kutoka Singida.

Mbunge Kingu kwani ameipeleka salamu nzito kwa walio nyuma ya wanaharakati uchwara wanaolipwa kuiharibu Tanzania
Uzuri majibu yatakayorudi toka Kenya 🇰🇪 ni huyo dikteta mke kutukanwa matusi ya nguoni nafikiri ndicho mnachofurahia akitukanwa hivyo. Watu wanaacha kujadili bajeti wanaingia kwenye mipasho.
 
Back
Top Bottom