johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tufute somo la Civics mashuleni.Mnawapa degree?
Hii wakafundishane matutusa ya Ccm kwa sababu ndio hawajui katiba ya chama chao na ndio sababu huwa hakuna uchaguzi wowote wa kuchaguwa viongozi wa Ccm Taifa.Wewe nadhani hujui kilichotokea ni Bora unyamaze kimya usubiri hiyo elimu yako ya miaka 3...... Ile tu ya darasa la Saba ulifeli ambayo ni miaka 7 sasa hii ndiyo utaambulia kitu.
UmesomekaKwani katiba si kitabu tu? Sasa INA umuhimu gani?
Wakristo wangapi wana Biblia na hawasomi na waislamu wangapi wana msahafu hawasomi.
Hizo pesa ,a katiba tugawane tu kila mtu aambulie, Tanzania inapaswa kutawaliwa kijeshi tu.
HujamuelewaPumbavu
Hujamuelewa
Andiko lake ni la kubeza tu! Ujumbe ameufikisha kwa mtindo mwingineInashangaza sana kijana kama wewe unashabikia mambo kama haya. Una amini kwa sababu sasa hivi ni mmoja wao hivyo hata mjukuuu wa mjukuu wako atakuwa mmoja wao. Watu wanaweza kuwa wamesusia kwa sababu kuna vipengele kandamizi vilikuwepo. Haya mambo ni serious I mean Katiba. Sasa hivi watu wanapiga pesa maana katiba haiwabani. nk..
Umechoteka bwashee soma vizuri ujumbe wake ni kijembe kwa SamiaPumbavu
Umechoteka bwashee soma vizuri ujumbe wake ni kijembe kwa Samia
Dk tale!?Kwa Kawaida Mtu aliyeelimika na anayejua Katiba ni nini hawezi kususia Mjadala wa Kibunge wa kutengeneza Katiba.
Mtu aliyeelimika ataelewa wazi Ukishapokea posho unaposusia Vikao ni lazima uwarejeshee Walipa kodi Fedha zao vinginevyo wewe ni mwizi unayepaswa kushtakiwa.
Mtu aliyeelimika ataelewa wazi kabisa kwamba Katiba ni maisha hivyo ataipigania kwa Jasho na Damu badala ya Kususa au Kuzira na kumpa Faida adui "Ukisusa siye twala"
Wananchi waelimishwe kwa hiyo miaka 3 ila Wabunge kama akina Babu Tale wakae darasani miaka 7 dadeki 😂
Mungu wa mbinguni awabariki!