Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naibu waziri wa michezo kutwa yupo hapa JF anafanya siasa za maji ya chooni unadhani kuna cha maana kinaendelea huko wizarani??Wajinga tu,wizara ya michezo wamepitisha shilling ngapi hadi wachukizwe? Wao ni sehemu ya failure ya mambo mengi Tz
shonza yupo hum jamvini?Naibu waziri wa michezo kutwa yupo hapa JF anafanya siasa za maji ya chooni unadhani kuna cha maana kinaendelea huko wizarani??
Huko walifikaje kama sio yeye....!? [emoji34][emoji34][emoji34]thats why I hate pollitik
Mbunge wa mwisho kuongea, na vishangwe vya mbali vimesikika na kama wanasapoti alichosemaAcha umbeya, wapi amesema wabunge wamechukizwa?
Nimeisikiliza clip yote wangekuwa wanajenga hivi hoja bungeni Tz tungekuwa donor countryNaibu waziri wa michezo kutwa yupo hapa JF anafanya siasa za maji ya chooni unadhani kuna cha maana kinaendelea huko wizarani??
Huyo ndio spika?Mbunge wa mwisho kuongea, na vishangwe vya mbali vimesikika na kama wanasapoti alichosema...
Wapi mtoa mada kamtaja spika?Huyo ndio spika?