Wabunge wachukizwa na Kipigo 2-0 Taifa Stars...Wadai Kocha Amunike hafai na hana uzeoefu wa kupewa Timu ya TAIFA.....

Wabunge wachukizwa na Kipigo 2-0 Taifa Stars...Wadai Kocha Amunike hafai na hana uzeoefu wa kupewa Timu ya TAIFA.....

Kwa uzoefu gani wa timu yenyewe??
Miaka kibao timu haijawahi kufuzu halafu wategemee miujiza???
Washukuru kwanza kwa kipigo dhaifu[emoji87]
 
Watoke bungeni wakachezeshe vitambi vyao uwanjani waone kama shughuli ni rahisi kama wanavyodhani hao nyumbu
 
Kama anaona kocha hafai, si aombe hiyo nafasi yeye? Yeye mwenyewe yakwake yanamshinda, ila aoni, anaona ya wengine.

Watu wakiwa nje wanaona mambo mengi sana kuliko walio ndani
 
Back
Top Bottom