Wabunge wachukizwa na Kipigo 2-0 Taifa Stars...Wadai Kocha Amunike hafai na hana uzeoefu wa kupewa Timu ya TAIFA.....

Kwa uzoefu gani wa timu yenyewe??
Miaka kibao timu haijawahi kufuzu halafu wategemee miujiza???
Washukuru kwanza kwa kipigo dhaifu[emoji87]
 
Wanasiasa wamekuwa wachambuzi wa soka

Ova
 
Watoke bungeni wakachezeshe vitambi vyao uwanjani waone kama shughuli ni rahisi kama wanavyodhani hao nyumbu
 

Kama anaona kocha hafai, si aombe hiyo nafasi yeye? Yeye mwenyewe yakwake yanamshinda, ila aoni, anaona ya wengine.

Watu wakiwa nje wanaona mambo mengi sana kuliko walio ndani
 
Politicians should stay away from our football ...

This is enough now ...

Waambien tutawapiga mawe ...

Wanaharibu kila kitu ...

Hata burudani yetu ya mwisho ...

I aint take this shit ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…