Pre GE2025 Wabunge waliojiongezea mshahara hawajamchangia Rais Samia fomu. Walimu wanao lipwa pesa ya pipi wanamchangia fomu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama kawaida ya Ccm,
Bunge lime kanusha hawaja jiongezea mishaha.
Ila hawaja sema wana lipwa shilingi ngapi.
 
Sisi walimu tuna maisha mazuri na tumeridhika, endeleeni kutudhihaki.
 
Enzi za Ukoloni Wafanya kazi walipigania uhuru kwa katiba mbovu ya kikoloni, shida ni sio katiba shida ni uzezeta
 
Mnaoaminigi hizi habari akili zenu huwa hazipo sawa, wanasiasa ni watu wa kuwaamini???

Unakumbuka wale wamasai wa mchongo ngorongoro??
Wauza madafu ikulu?
Kinachofanya uamini waliochanga ni walimu ni kipi hasa?
 
Umelopolopo

Hakuna mshahara ulioongezeka
 
hyo fomu ni bilion ngap ambayo rais hana uwezo wa kuitoa, mpaka watu wajifanye kumchangia, kwanza muda wa hizo endorsment haujafika, shobo za wabongo ni too much.
 
Watumishi wa umma ni kikundi fulani cha wapuuzi .wajinga na wasiojielewa . Wenyewe hujiona wenye bahati kuajiriwa na serikali huki wakilipwa vilaki 5 vyao na kuwa wahanga wa madeni ya NMB
 
Mkuu walimu sasa hivi wamechachamaa kila siku watoto wanatumwa 200 za tuisheni.walimu wana hali tete.
 
Kumchangia Mama Samia hela ya fomu ni jambo jema ila kwani fomu siku hizi ni Tsh 120m? Ninavyojua ni milioni 1 tu.
 
Walimu wamelipia ombi lao wasisahaulike kwenye kusimamia uchaguzi ujao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…