Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

Wabunge walionyamazia vitendo vya utekaji na kushiriki kuuza bandari zetu wasirudi bungeni

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Hili swali naomba liulizwe majukwaani kwa wabunge wanaomaliza muda wao na hapo hapo wanaomba ridhaa kuendelea.

1. Waulizwe kwamba, ikiwa mlinyamazia vitendo vya utekaji visijadiliwe na kukemewa bungeni, mnaomba ridhaa Ili vitendo vya utekaji viendelee?

2. Ikiwa mllishiriki kugawa bandari zetu kwa wageni mkidai watanzania hawawezi chochote, mnakuja kuomba ridhaa kwa mara ingine Ili iweje?

NRNE 💪 🔥

Nawasilisha 🙏
 
Kiongozi wao mkuu ndie anaeteua nani arudi Bungeni
 
Back
Top Bottom