Wabunge wameacha kujadili mambo ya msingi wanajadili ‘legacy’, itatusaidia nini?

Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe.

Wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais.

Mnapoteza muda bure.

Kwani kuna ambacho huwa wanajadili kinachotusaidia?

Sana ni kujadili Maslahi yao tu na kupiga porojo.
 
Kweli wabunge wanapotea sana sijui wanajielewa hawa ? Hatukuwatuma hayo !
 
kumbe ukisema ukweli ni kumchafua hahaha kweli nimeamia nchi inasafari ndefu sana

ukweli ungekua unasemwa wala tusingekua na shida hizi, nyie toka yuko hai alikuaga mbaya basi mtuache sasa bunge linyooshe legacy hizo story zingine baki nazo
 
Watu badala ya kupambana na maisha ili wapate ridhiki kutwa kuchwa wanapambania legacy ya marehemu itakusaidia kitu gani, Magufuli ameshakufa hawezi kurudi wala hawezi kusikia mnayosema, aliyotenda mabaya au mazuri hayawezi kuongezwa wala kupunguzwa na walio hai, matendo yake au legacy yake itajitetea yenyewe.

Wabunge nao wameingia kwenye upuuzi huo badala ya kujadili bajeti wanajadili mtu aliyekufa mbona hatujawahi kusikia mnajadili legacy ya Mkapa au yeye hakuwa rais, hatujawatuma kwenda bungeni kujadili legacy ya mtu.

Mnapoteza mu

Ni kweli mkuu. Tunataka watuambie ni mikakati gani wataifanya kututoa hapa kuelekea kesho yetu siyo kujadili habari za mwendazake. Inaonekana hawaamini kama kesha enda na harudi tena, Chapter closed tuangalie chapter za current Tanzania. Vijembe havitusaidii kabisa!!!
 
Asilimia 90 sio chaguo la wananchi pili walitegemea wakabadilishe katiba Ili pasiwepo na uchaguzi 2025 Ili wabaki na ubunge kama chanzo cha mapato.
 
tulieni tuweke base apa ya magufuli legacy apa kila mtu aijue maaana kuna watu washaanza kumchafua
KILA mmoja ujitengezea mwisho wake autakao.Kila mmoja ujiandikia kitabu chake mwenyewe.
 
Kweli wabunge wanapotea sana sijui wanajielewa hawa ? Hatukuwatuma hayo !
Sifa ya kuwa mbunge yatosha kujua kusoma na kuandika, mengine ni ziada! Ni wachache wanaojiongeza na kuonekana tofauti na wenzao, na hao ndo wanaoonekana mazoba!
 
Back
Top Bottom