- Thread starter
- #61
Rais Samia: Nimeshangazwa watu wanapiga ngoma mtandaoni, inachezwa bungeni, tena mnademka vizuri sana!
Mnalinganisha watu, mnalinganisha Magufuli na Samia, watu hawa ni kitu kimoja. Nimefuatilia mijadala yenu bungeni, haina afya