Wabunge wameacha kujadili mambo ya msingi wanajadili ‘legacy’, itatusaidia nini?

legacy inatengenewa na waliobaki dogo haijileti yenyewe we jamaa vp
Wewe acha ujinga . Ulishiriki kutengeneza ya nyerere wewe? Au ulishawahi sikia bunge huko SA linajadili legacy ya Nelson Mandela? Mbona zinatambulika kote duniani????
 
Wewe acha ujinga . Ulishiriki kutengeneza ya nyerere wewe? Au ulishawahi sikia bunge huko SA linajadili legacy ya Nelson Mandela? Mbona zinatambulika kote duniani????

arifu nampagua tu huyo dogo hakuna mtu asiejua hilo
 

 
Itatusaidia kutupa mwongozo wa kufuata,kuenzi na kuzingatia yale aliyoyaasisi Magufuli ili kukamilisha na kusukuma mbele zaidi gurudumu la maendeleo kama alivyofanya Hayati Magufuli.
 
Kwa Bunge ambalo Spika wake anawaona darasa la saba ni bora kuliko PhD holders na anawapa hao vilaza airtime ya kuwatukana maprofesa unategemea kitoke kitu cha maana hapo?
 
Wanafanya hayo yote kwa kuwa wamejituma wenyewe!! Fikiria Mbunge huna chama na unanyoosha mkono kuchukua Hela, Unamuwakilisha nani!?
 
Boss Hawa watu hawakutumwa na mtu yeyote bungeni, kura walipigiwa na Time ya Uchaguzi kwa maelekezo ya mwendazake. Wanajua fika hawakuchaguliwa na wananchi that's why wamekomaa na marehemu utafikiri nchi sasa inaongozwa toka kuzimu. Tunataka kuona support Bunge kwa Rais wetu Samia Hassani, siyo kuchoshana namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…