Wabunge wamelipwa Posho Kujadili Bajeti halafu Finance Bill inakataliwa, Kwa Katiba ya Tanzania Bunge lingevunjwa!

Ninakubaliana na huo mstari wako wa mwisho tu basi; ingawa umeuweka huku ukisahau mengine yote ambayo siku zote huyaimba humu JF
Hayo mengine ya juu, siyo ujinga ni upumbavu tu uliokujaa kichwani. Leo 'Chura Kiziwi' akinyang'anywa mfupa, hutasikika tena, huo ndio upumbavu wenyewe.
 
Ila mwanangu kuna muda unakuwa kama vile umepakatwa unauugulia.
Mtu mzima badala ya kuleta maudhui yenye hoja unamtukana mwenzio, Tena tusi baya ambalo linaonyesha unavaa chupi moja na baba yako.
Unaweza ukapinga hoja ya mtu bila kumuudhi, Tena ikiwa hoja yenye mashiko ukabadilisha mtizamo wake.
Up your game my friend. Kumtukana MTU usiyemjua sio fresh.
 
Ni Tanzania ya wapi wangeikataa, mfumo wa CCM mbunge ukisha mchagua anatakiwa akitetee chama na miswada yake bungeni na si mpiga kura, kwa kifupi hatakiwi kukutetea wewe ndiyo sababu hakuna mswaada unaoweza kukataliwa na wabunge wa CCM labda waziri atuonee huruma.
 
Msimamo wangu uko wazi,kinachoitwa Katiba Mpya ni upuuzi na hakina maana Kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya kuwasaidia Wanasiasa kwenda kula Rushwa,ufisadi ,vyeo vya Kisiasa ,kusaliti watu nk.

Hakuna mahala Katiba Mpya imewahi msaidia common mwananchi ila Sasa Kwa kuwa ni wajinga wanalishwa maneno ya kijinga na watu kama nyie wanajaa upepo.

Katiba Mpya haileti uchumi Wala ustawi wa Maisha ya mtu,Kwa nini kupoteza mda kuleta kitu kitakachokuwa kinaleta migogoro ya Kisiasa? Ujinga mtupu.
 
Hii ya sasa hivi imekuletea nini hadi unaandika kwa hasira na kukaza kiuno?
 
Kama ni hivyo,utulie na uache wanaoitaka waipambanie.Wewe uwe unaanzisha tu nyuzi za masifu kwa CCM.
Nawaelimisha Wananchi wenzangunkwa.kuwapa mifano real.Wasipopambana na Wanasiasa walafi kama nyie wataumizwa zaidi huko mbele.

Hakuna haja ya Katiba Mpya ya kuleta wezi wengine,Hawa Hawa wanatutosha
 
Nawaelimisha Wananchi wenzangunkwa.kuwapa mifano real.Wasipopambana na Wanasiasa walafi kama nyie wataumizwa zaidi huko mbele.

Hakuna haja ya Katiba Mpya ya kuleta wezi wengine,Hawa Hawa wanatutosha
Wewe siyo wa kuelimishwa tena.Ni wa kukamatwa,kufungwa kamba za katani na kutandikwa viboko vingi vya hovyohovyo hadi ujikojolee.
 
Unawatoa tongotongo au unawanyofoa nyusi kwa nguvu wabaki na vidonda?
Nawatoa tongotongo wasijase kwenye mtego wa Wanasiasa mafisadi,just imagine Wanaodai watawatetea wanatumia Rushwa kuchaguana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Pili Wameshindwa kuelezea Katiba Mpya imeleta faida zipi kwenye Nchi Zenye Katiba Mpya
 
Wewe niwakuhurumia.ujinga ulionao ni pro max.
 
Hiyo rushwa uliipokea na wewe hadi uitolee ushahidi?Kama haujaona faida za katiba mpya basi ni rahisi kusema ..."tunashukuru SSH katujengea mortuary/mochwari ili tukifa tulale unono"...!
 
Hiyo rushwa uliipokea na wewe hadi uitolee ushahidi?Kama haujaona faida za katiba mpya basi ni rahisi kusema ..."tunashukuru SSH katujengea mortuary/mochwari ili tukifa tulale unono"...!
Faida ya Katiba ni ipi?

Wagombea wenu ndio wameongea kuanzia na Lisu,wewe humuamini Lisu au unataka ushahidi upi mwingine?

Kuanzia Kwa kina Msigwa,Lema Hadi Wenje kote ni pesa inaamua πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwisho mnaposemaga Kuna Ufisadi Serikalini Huwa mnatoa ushahidi?
 
Ulipoandika..."wagombea wenu"...unamaanisha nini?Yaleyale ya kuendeshwa kwa hisia.Uliwahi kuiona kadi yangu ya uanachama wa kisiasa?Kama haujui na wala hujihangaishi kujua umuhimu wa katiba mpya,unataka ushikwe kwa nguvu uanzishiwe tuisheni ujue faida zake?Unakwama sana kama mtu mzima.Haushtuki kwa nini unashambuliwa?
 
Cjackia vizuri unasema kwa katiba ya nchi gani bunge lingevunjwa?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nchi gani hyo ambayo katiba inafuatwa vzuri hivyo?Hahahaaaa daah watu mnafurahisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…