Ninakubaliana na huo mstari wako wa mwisho tu basi; ingawa umeuweka huku ukisahau mengine yote ambayo siku zote huyaimba humu JFNa wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.
Msipende kuwa wajinga Kwa Kufuata standards za Ulaya,hazifanyi kazi Afrika
Hayo mengine ya juu, siyo ujinga ni upumbavu tu uliokujaa kichwani. Leo 'Chura Kiziwi' akinyang'anywa mfupa, hutasikika tena, huo ndio upumbavu wenyewe.