Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wewe mjinga sana na huna ufahamu. Haufahamu matakataka ya kishirikina aliyoifanya babuako NYENYERE kwa Gharama ya ujinga na umaskini huu wa fikra mlionao? Unafikiri huu usingizi wa pono mliowekewa na NYENYERE ni sawa? Bitozo ameuza bandari kwa mlungula wa $200m mkalazwa pono hamkumfukuza magogoni. Unafikiri Kenya wangekubali huu upunguani wa bitozo?Na wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.
Msipende kuwa wajinga Kwa Kufuata standards za Ulaya,hazifanyi kazi Afrika
Kwa sababu ile yenu ya 77 inakufanya unaiba unavyotaka.Kenya ni Moja ya Nchi yenye Katiba ya kipumbavu sana
Genge la wahuniSasa Tanzania kuna bunge?
matapeli tupuGenge la wahuni
Nawahurumia sana vijana kama ninyi ambao mnaamini kunya anakunya kuku pekee, akinya bata kaharisha.Na wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.
Msipende kuwa wajinga Kwa Kufuata standards za Ulaya,hazifanyi kazi Afrika
Bunge linavunjwa ikiwa wabunge wamekataa kupitisha jambo.Hapana, Bunge lisingevunjwa isipokuwa mswada ungerudishwa Tena Bungeni kwa ajili ya maboresho, ilitokea ukapingwa Tena ndipo sasa RAIS atakuwa na mamlaka ya kulivunja Bunge Tukufu.
Kwa hiyo wizi wa tamzania katiba imeruhusu? Ni bora sasa. Si ndioNa wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.
Msipende kuwa wajinga Kwa Kufuata standards za Ulaya,hazifanyi kazi Afrika
Acha viroja,Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge
Katiba yetu ni Bora sana kushinda hayo mengineKwa hiyo wizi wa tamzania katiba imeruhusu? Ni bora sasa. Si ndio
Utukufu wa Bunge si watu wake, kwa Tanzania hatumuiti mtukufu mbunge la hasha, kwa sababu mbunge si sacred.Bunge "tukufu"?Hivi neno utukufu limekuwa kama kustua kijoti?Linatumika tu hobelahobela?
Ufinyu wa akili. Kukosa upeo. Ujinga, na hasa upumbavu.Msimamo wangu uko wazi,kinachoitwa Katiba Mpya ni upuuzi na hakina maana Kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya kuwasaidia Wanasiasa kwenda kula Rushwa,ufisadi ,vyeo vya Kisiasa ,kusaliti watu nk.
Hakuna mahala Katiba Mpya imewahi msaidia common mwananchi ila Sasa Kwa kuwa ni wajinga wanalishwa maneno ya kijinga na watu kama nyie wanajaa upepo.
Katiba Mpya haileti uchumi Wala ustawi wa Maisha ya mtu,Kwa nini kupoteza mda kuleta kitu kitakachokuwa kinaleta migogoro ya Kisiasa? Ujinga mtupu.
Mimi sio wa kupotezea mda Kwa watu wasio jitambua kama weweUfinyu wa akili. Kukosa upeo. Ujinga, na hasa upumbavu.
Ya nini kupoteza muda na mtu wa aina yako!
Mwisho a akili yako ni kuwa 'chawa' kwa mtu, mengine yote unazima akili juu yake. Huyo mtu atakapofurumshwa hapo ndipo akili itaanza kufunguka?
Hujui Katiba ni kitu gani; hujui sheria ni nini. Unachojuwa ni kuimba nyimbo za kusifu 'Chura Kiziwi' basi!
Thibitisha kwa kifungu kimoja cha katiba yao ya kipumbavu , kwa kulinganisha na kifungu kimoja cha katiba yenu ya kijanja mkuu.Kenya ni Moja ya Nchi yenye Katiba ya kipumbavu sana
Kulinda haki za binadamu.Faida ya Katiba Mpya ni ipi?
Kwani Katiba yetu haifanyi hayo?Kulinda haki za binadamu.
Kuboresha demokrasia.
Kutoa mwongozo wa kimaendeo
Kuboresha mgawanyiko wa madaraka kati ya mihimili mitatu ya serikali , Utawala , bunge , na mahakama.
Unafikiri katiba ya 1977 inaweza kidhi mahitaji ya 2024?Kwani Katiba yetu haifanyi hayo?
Huko wanakouana Katiba Yao Mpya inafanya hayo?
Kwa nini isikidhi? Mbona imekuwa inaboreshwa mara kadhaa? Kipi kimepungua?Unafikiri katiba ya 1977 inaweza kidhi mahitaji ya 2024?
Natumaini ulisoma hizo points nilizotaja apo juu .Kwa nini isikidhi? Mbona imekuwa inaboreshwa mara kadhaa? Kipi kimepungua?