Wabunge wamelipwa Posho Kujadili Bajeti halafu Finance Bill inakataliwa, Kwa Katiba ya Tanzania Bunge lingevunjwa!

Wabunge wamelipwa Posho Kujadili Bajeti halafu Finance Bill inakataliwa, Kwa Katiba ya Tanzania Bunge lingevunjwa!

Na wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.

Msipende kuwa wajinga Kwa Kufuata standards za Ulaya,hazifanyi kazi Afrika
Wewe mjinga sana na huna ufahamu. Haufahamu matakataka ya kishirikina aliyoifanya babuako NYENYERE kwa Gharama ya ujinga na umaskini huu wa fikra mlionao? Unafikiri huu usingizi wa pono mliowekewa na NYENYERE ni sawa? Bitozo ameuza bandari kwa mlungula wa $200m mkalazwa pono hamkumfukuza magogoni. Unafikiri Kenya wangekubali huu upunguani wa bitozo?
 
Na wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.

Msipende kuwa wajinga Kwa Kufuata standards za Ulaya,hazifanyi kazi Afrika
Nawahurumia sana vijana kama ninyi ambao mnaamini kunya anakunya kuku pekee, akinya bata kaharisha.

Yani kwamba Tz hakuna mfumuko wa bei? Hakuna madeni? Maisha ni rahisi?

Mbona mimi naona wewe ndiye unakuwa mpumbavu (mtu anayejua jambo fulani ni kweli lakini anaamua kusema halipo). Kusifia sio mbaya, lakini kusifia uovu ni ujinga.
 
Hapana, Bunge lisingevunjwa isipokuwa mswada ungerudishwa Tena Bungeni kwa ajili ya maboresho, ilitokea ukapingwa Tena ndipo sasa RAIS atakuwa na mamlaka ya kulivunja Bunge Tukufu.
Bunge linavunjwa ikiwa wabunge wamekataa kupitisha jambo.
Kwa Kenya waliokataa ni wananchi hasa vijana na siyo bunge. Ndiyo maana Rais amekataa kusaini hiyo sheria baada ya bunge kuipitisha.
 
Na wewe Kwa akili zako za kuku unaona hizo Katiba ni Bora? Ubora wake ni upi ikiwa kwenye hizo Nchi usalama ni mdogo,njaa,Madeni, mfumuko wa bei,maisha magumu na upuuzi kama huo? Vyote hivyo havipo Tanzania.

Msipende kuwa wajinga Kwa Kufuata standards za Ulaya,hazifanyi kazi Afrika
Kwa hiyo wizi wa tamzania katiba imeruhusu? Ni bora sasa. Si ndio
 
Bunge la Tanzania kuvunjwa lingemshtua mwananchi gani, zaidi ya kushukuru na kufurahi kwa kunusulu kodi zetu wanazokula kila siku
 
Hata yaliyotokea Kenya Finance Bill kukataliwa ingekuwa ni Tanzania Rais angevunja Bunge
Acha viroja,
Rais huyu huyu anayeteua marehemu angevunja bunge? By the way how many critical issue zimetokea na hakuna hatua iliyochukuliwa?
 
Bunge "tukufu"?Hivi neno utukufu limekuwa kama kustua kijoti?Linatumika tu hobelahobela?
Utukufu wa Bunge si watu wake, kwa Tanzania hatumuiti mtukufu mbunge la hasha, kwa sababu mbunge si sacred.
Bali hadhi na heshima ya Bunge iliyokuwa nayo, kama mhimili mtakataifu wa kutunga Sheria na ustawi wa wananchi, daima milele mpaka pale siku ya mwisho. Relax.
 
Msimamo wangu uko wazi,kinachoitwa Katiba Mpya ni upuuzi na hakina maana Kwa mwananchi wa kawaida zaidi ya kuwasaidia Wanasiasa kwenda kula Rushwa,ufisadi ,vyeo vya Kisiasa ,kusaliti watu nk.

Hakuna mahala Katiba Mpya imewahi msaidia common mwananchi ila Sasa Kwa kuwa ni wajinga wanalishwa maneno ya kijinga na watu kama nyie wanajaa upepo.

Katiba Mpya haileti uchumi Wala ustawi wa Maisha ya mtu,Kwa nini kupoteza mda kuleta kitu kitakachokuwa kinaleta migogoro ya Kisiasa? Ujinga mtupu.
Ufinyu wa akili. Kukosa upeo. Ujinga, na hasa upumbavu.
Ya nini kupoteza muda na mtu wa aina yako!

Mwisho a akili yako ni kuwa 'chawa' kwa mtu, mengine yote unazima akili juu yake. Huyo mtu atakapofurumshwa hapo ndipo akili itaanza kufunguka?

Hujui Katiba ni kitu gani; hujui sheria ni nini. Unachojuwa ni kuimba nyimbo za kusifu 'Chura Kiziwi' basi!
 
Mimi sio wa kupotezea mda Kwa watu wasio jitambua kama wewe
 
Faida ya Katiba Mpya ni ipi?
Kulinda haki za binadamu.

Kuboresha demokrasia.

Kutoa mwongozo wa kimaendeo

Kuboresha mgawanyiko wa madaraka kati ya mihimili mitatu ya serikali , Utawala , bunge , na mahakama.
 
Kulinda haki za binadamu.

Kuboresha demokrasia.

Kutoa mwongozo wa kimaendeo

Kuboresha mgawanyiko wa madaraka kati ya mihimili mitatu ya serikali , Utawala , bunge , na mahakama.
Kwani Katiba yetu haifanyi hayo?

Huko wanakouana Katiba Yao Mpya inafanya hayo?
 
Back
Top Bottom