Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli?
Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura kumchagua mmoja?
Mi naona Makamu wa Rais ameteuliwa, mambo ya kura za wabunge ni kiini macho tu. Ndio maana wadau wanadai katiba mpya. Yote kwa yote hongera kwa Makamu mpya wa Rais. Hakuna namna.