Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,575
Kwa mazingira ya bunge la chama kimoja, njia ya kwanza ni kiini macho. Ila kama lingekua bunge la vyama vingi kisawasawa basi njia ya kwanza ni nzuri sana. Lakini kwangu jina moja ni miyeyusho. Ndio maana Katiba Mpya ni muhimu.Kuna njia aina mbili za kuwapata makamu rais wa jmt kutegemeana na muongozo wa katiba ya jmt
1. Kuteuliwa
2. Kuchaguliwa kama mgombea mwenza
Kwa mkitadha wa kwanza, makamu wa rais aliyeteuliwa kutoka chama chenye wabunge wengi anatakiwa athibitishwe na wabunge
-kama ingetokea kura za hapana ziwe nyingi, mh rais na chama chake atawajibika kuleta jina lingne. (hapa maamzi ya wananchi yanawakilishwa na wabunge a.k.a indirect democracy)
Mkitadha wa pili, huyo anapgiwa kura moja kwa moja wakati wa uchaguzi na bunge halina cha kuthibitisha.
Uko sahihi kabisaKwa mazingira ya bunge la chama kimoja, njia ya kwanza ni kiini macho. Ila kama lingekua bunge la vyama vingi kisawasawa basi njia ya kwanza ni nzuri sana. Lakini kwangu jina moja ni miyeyusho. Ndio maana Katiba Mpya ni muhimu.
Hata ingekuwa ni ww rais uliyeko madarakani kwa wizi wa kura na hao wabunge, utasubiri lolote toka kwao? Hilo bunge haliwezi kufanya lolote nje ya matakwa ya rais, maana karibu wote wako hapo kwa msaada wa madaraka ya huyo rais.Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli?
Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura kumchagua mmoja?
Mi naona Makamu wa Rais ameteuliwa, mambo ya kura za wabunge ni kiini macho tu. Ndio maana wadau wanadai katiba mpya. Yote kwa yote hongera kwa Makamu mpya wa Rais. Hakuna namna.
Rage alisema siku VP alipojiudhulu.Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli?
Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura kumchagua mmoja?
Mi naona Makamu wa Rais ameteuliwa, mambo ya kura za wabunge ni kiini macho tu. Ndio maana wadau wanadai katiba mpya. Yote kwa yote hongera kwa Makamu mpya wa Rais. Hakuna namna.