Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa.
Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki?
Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi kitaumana? Wameamua kuufyata ili kulinda msosi wao wa kila siku siyo?
Maana yake Mama anasimama na viongozi wenzake wa chama na Job anabakia na wanawe kama ndio hivi.
Hii hali inataka kunifanya niote vibaya hali itakavyokuwa mjengo siku za usoni.