Fundi Madirisha
Senior Member
- Jun 30, 2020
- 184
- 988
Ya kweli haya? Mama anaupiga MwingiWatanzania wengi wakiwemo wabunge hawamuelewi huyu mama. Ni jambo la muda tu.
Pesa iliyopo ni ndogo sana kulingana na mkop huo hivyo hata akilipa haisaidii kitu.BiM lipa hilo deni ni dogo sana kulinganisha na akia yetu ili kuepusha nchi kupigwa mnada japo mzee wa Ubelgiji anasema tulishapigwa mnada kitambo.
Hii figure inatafakarisha kidogo 6,253 x 1,000,000,000 x 2,290 = in tanzania shillings, tupo vizuri kwa kweli nashauri tulipe deni maisha yaendelee... mihimili inaparurana kwa sababu ya vijisenti vya TZS 70 tr deni la taifa wakati taifa lina akiba ya USD 6,253 billon! Si walipe hilo deni maisha yaendelee? Ajabu sana!
Wanaanza kugawana fito, wewe subiri waangushe kamba uambulie hizo hizo.Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa.
Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki?
Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi kitaumana? Wameamua kuufyata ili kulinda msosi wao wa kila siku siyo?
Maana yake Mama anasimama na viongozi wenzake wa chama na Job anabakia na wanawe kama ndio hivi.
Hii hali inataka kunifanya niote vibaya hali itakavyokuwa mjengo siku za usoni.
Bungegani tena?Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa.
Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki?
Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi kitaumana? Wameamua kuufyata ili kulinda msosi wao wa kila siku siyo?
Maana yake Mama anasimama na viongozi wenzake wa chama na Job anabakia na wanawe kama ndio hivi.
Hii hali inataka kunifanya niote vibaya hali itakavyokuwa mjengo siku za usoni.
Wamegawanyika na wanasoma upepoHii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa.
Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki?
Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi kitaumana? Wameamua kuufyata ili kulinda msosi wao wa kila siku siyo?
Maana yake Mama anasimama na viongozi wenzake wa chama na Job anabakia na wanawe kama ndio hivi.
Hii hali inataka kunifanya niote vibaya hali itakavyokuwa mjengo siku za usoni.
Haa bunge lijalo mawaziri wawe makin maana hakutakuwepo tena na porojo .swali likiulizwa lijibiwe kwa majibu mafupi yenye kueleweakaWamegawanyika na wanasoma upepo
Dollar 6 thousands, taarifa rasmiPesa iliyopo ni ndogo sana kulingana na mkop huo hivyo hata akilipa haisaidii kitu.
Bill 6 =14 tirioni
Deni tirion 80
Sawa na dolla billion 35-38
Mama anaupiga mwingi nje ya uwanja.Ya kweli haya? Mama anaupiga Mwingi