Kama hesabu tu ni tatizo, hata dola bilioni 6000 hujui ni kiasi gani, utakuwa unakopa tu hovyohovyo.
Sababu namba ni mzigo. Sign hapa sawa, sign pale OK, weka tozo, fukuza machinga, ongeza bei za pembejeo, mafuta vifaa vya ujenzi, chakula.
Upo hapo serikali kufanya nini hasa, kumsaidia, kumuwezesha nani?