johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaaa.......!Awaambie tu alimaanisha na wao wakatwe Kodi Ile ya miamala kesi inaishia hapo.
Kaazi kwelikweliAwaambie tu alimaanisha na wao wakatwe Kodi Ile ya miamala kesi inaishia hapo.
Watumishi wote wa umma wanzpata msamaha wa kodi ya magari?Afafanue ni kodi gani hawalipi. Hilo la msamaha wa kodi kwenye magari ni stahili ya watumishi wote wa umma na sio wabunge peke yao. Sidhani kama wanapewa msamaha kwenye vifaa vya ujenzi n.k.
Amandla...
Ndivyo ilivyokuwa. Lakini walibadilisha ikawa ni serikali ndio inayomlipia kodi hiyo mtumishi wa umma. Kwa hiyo technically msamaha haupo bali serikali inabeba mzigo wa hiyo kodi.Watumishi wote wa umma wanzpata msamaha wa kodi ya magari?
Sasa si ndiyo msamaha wenyewe?Ndivyo ilivyokuwa. Lakini walibadilisha ikawa ni serikali ndio inayomlipia kodi hiyo mtumishi wa umma. Kwa hiyo technically msamaha haupo bali serikali inabeba mzigo wa hiyo kodi.
Amandla...
Afadhali!Sasa si ndiyo msamaha wenyewe?
Ukweli ni kwamba Bunge linatumia mbinu kukwepa kulipa kodi halisi ya kipato chao. ni uhalifu sawa na wengine tu. Huwezi kusema mshahara ni milioni 2 halafu posho ni milioni 8. Ni mtindo wa kishenzi na upuuzi wa kimaadili! Tunataka walipe kodi inayolingana na kipato chao, FINITO!Watumishi wote wa umma wanzpata msamaha wa kodi ya magari?
Nimekuelewa bwashee!Ukweli ni kwamba Bunge linatumia mbinu kukwepa kulipa kodi halisi ya kipato chao. ni uhalifu sawa na wengine tu. Huwezi kusema mshahara ni milioni 2 halafu posho ni milioni 8. Ni mtindo wa kishenzi na upuuzi wa kimaadili! Tunataka walipe kodi inayolingana na kipato chao, FINITO!
Kama ni hivyo mishahara ishushwe hadi elfu 60 halafu kuwe na posho ya milioni 4.
Hapana. Msamaha ni kuwa deni linakuwa halipo. Hapa deni lipo lakini unalipiwa. TRA wataendelea kukudai mpaka litakapo lipwa na serikali. Msamaha ni kuwa TRA hawapati kitu, kama ilivyokuwa kwa taasisi za kidini.Sasa si ndiyo msamaha wenyewe?
CHAMENA ni katazo duniani na mbinguniCCM ni chukizo mbele za MUNGU
SawaCHAMENA ni katazo duniani na mbinguni
ndugu huu uongo wa watumishi kupata msamaha wa kodi kwenye magari umeutoa wapi nakushauri urudishe ulikoitoa kabla haijakuathiriAfafanue ni kodi gani hawalipi. Hilo la msamaha wa kodi kwenye magari ni stahili ya watumishi wote wamma na sio wabunge peke yao. Sidhani kama wanapewa msamaha kwenye vifaa vya ujenzi n.k.
Amandla...
Haswaa! Nafikiri kuna haja baadae kuweka kwenye katiba zuio la wabunge kutunga sheria zinazowapendelea.Ukweli ni kwamba Bunge linatumia mbinu kukwepa kulipa kodi halisi ya kipato chao. ni uhalifu sawa na wengine tu. Huwezi kusema mshahara ni milioni 2 halafu posho ni milioni 8. Ni mtindo wa kishenzi na upuuzi wa kimaadili! Tunataka walipe kodi inayolingana na kipato chao, FINITO!
Kama ni hivyo mishahara ishushwe hadi elfu 60 halafu kuwe na posho ya milioni 4.