Wabunge wanatuona ‘SISI’ wananchi ni wajinga sana

Kwani uongo, wananchi wengi ni wajinga kupindukia…. kuwatetea ni kujitesa tu.
 
Wahuni hao wanadhani wao ni kitengo kingine cha maccm kama uvccm na uwt.

Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza.

Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa mwananchi, wameongeza tozo ya kodi kwenye simu, mbaya zaidi wazo hili lilitolewa na mbunge kwa mgongo wa kodi ya uzalendo.

Wabunge ni wabinafsi sana eti wanasema mshahara wao hautoshi wanaomba waongezewe kweli hawa wanatuwakilisha? Kama sio dharau ni nini.

Hawana faida kwetu na kwa nchi wamebaki kututungia sheria mbovu na kandamizi, binafsi sioni faida ya mbunge wangu zaidi ya kujinufaisha yeye na familia yake kupitia kura yangu.

Wanatudharau sana sisi wananchi, hawako ‘accountable’ wala ‘resiponsible’ kwa wapiga kura wao kwa vile wanajua once wakishachaguliwa hakuna wa kuwawajibisha hadi miaka 5 iishe.

Nashauri tuirejee katiba ya Warioba iliyopendekeza wabunge kama hawa tuwaondoe hata kabla ya kipindi chao kwisha, bila kufanya hivyo wataendelea kutuona sisi wapiga kura wajinga siku zote.
 
Mpaka sasa naona cheo cha ubunge ni mzigo kwa taifa. Nashauri wafutwe wote tuwe na mabaraza ya madiwani tu. Sheria za nchi zitungwe na Baraza kuu la madiwani litakalohusisha uwakilishi wa madiwani wachache kutoka kila mkoa.

Haya masuala ya tume huru wanayoyapigania wapinzani ni lengo la kwenda bungeni kula fedha za wananchi tu. Hakuna mwenye uchungu na wananchi sio wabunge wa CCM wala CHADEMA. Wote ni mizigo.
Nimekuelewa sana maana ya wabunge ni kutuwakilisha badala yake wanajiwakilisha wenyewe na Matumbo yao by that time hakukuwa na platform za online kama JF Jamhuri ya Muungano wa Twitter na platform zingine amboka watu tunaweza kijiwakilisha wenyewe bila kuwakilisha na mtu bunge lifutwe kabisaa kila mtu ajiwakilishe
 
wananchi wenyewe ndo wajinga.

2025 watagawiwa tisheti na kangamoko wabunge hawahawa mang'ombe warudi mjengoni.

yaani huyo mfumuko wa bei ufumuke tu mkate tununue 10,000
Nioneshe mbunge masikini kutoka Upinzani au CCM au aliyewahi kutaka mshahara upunguzwe na mimi nitakataa deal la kusimamia uchaguzi na kuiba kura.
 
wananchi wenyewe ndo wajinga.

2025 watagawiwa tisheti na kangamoko wabunge hawahawa mang'ombe warudi mjengoni.

yaani huyo mfumuko wa bei ufumuke tu mkate tununue 10,000
Ndugu unatuita wajinga kweli. Tuombe msamaha. Sisi hatukuchagua mbunge. Aliyechagua ni mwendazake. Hukusikia aliposema “Nileteeni Gwajima”. Huo ni mfano tu.
 
Hivi kwani tatizo ni nini ? Katiba mpya na tume ya uchaguzi na msajili,bila ii Mambo kufanyiwa KAZI...ni bora wapinzani wote wasishiriki uchaguzi maana mkondo utarudi kwa wale wale ndio setup.
 
Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza.

Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa mwananchi, wameongeza tozo ya kodi kwenye simu, mbaya zaidi wazo hili lilitolewa na mbunge kwa mgongo wa kodi ya uzalendo.

Wabunge ni wabinafsi sana eti wanasema mshahara wao hautoshi wanaomba waongezewe kweli hawa wanatuwakilisha? Kama sio dharau ni nini.

Hawana faida kwetu na kwa nchi wamebaki kututungia sheria mbovu na kandamizi, binafsi sioni faida ya mbunge wangu zaidi ya kujinufaisha yeye na familia yake kupitia kura yangu.

Wanatudharau sana sisi wananchi, hawako ‘accountable’ wala ‘resiponsible’ kwa wapiga kura wao kwa vile wanajua once wakishachaguliwa hakuna wa kuwawajibisha hadi miaka 5 iishe.

Nashauri tuirejee katiba ya Warioba iliyopendekeza wabunge kama hawa tuwaondoe hata kabla ya kipindi chao kwisha, bila kufanya hivyo wataendelea kutuona sisi wapiga kura wajinga siku zote.
Na Kweli WANANCHI ni WAJINGA mngekuwa na AKILI mngekubali Wawapitishie MASHERIA ya KIKATILI na Wao KUJILIPA MISHAHARA MINONO? Wananchi Mmetolewa UBONGO na Wabunge
JamiiForums-981320052.jpg
 
Kwani uongo, wananchi wengi ni wajinga kupindukia…. kuwatetea ni kujitesa tu.
Sawa wananchi wengi tu wajinga ndio maana tumewachagua wao tutuwakilisha bungeni lkn badala ya kutusaidia wametugeuka.
 
Mpaka sasa naona cheo cha ubunge ni mzigo kwa taifa. Nashauri wafutwe wote tuwe na mabaraza ya madiwani tu. Sheria za nchi zitungwe na Baraza kuu la madiwani litakalohusisha uwakilishi wa madiwani wachache kutoka kila mkoa.

Haya masuala ya tume huru wanayoyapigania wapinzani ni lengo la kwenda bungeni kula fedha za wananchi tu. Hakuna mwenye uchungu na wananchi sio wabunge wa CCM wala CHADEMA. Wote ni mizigo.
Wazo zuri sana maana madiwani ndo wako karibu na wananchi km huku kwetu mbunge anaenda mwaka wa 15 km atamaliza na huu muhula lakini tunamuona kipindi cha kuomba kula akiondoka sahauni km mna mbunge na hua najiuliza hivi haya machizi ambayo hua yanampigia kula yana akili timamu kweli.
 
Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza.

Wabunge wameridhia serikali kupunguza kodi kwenye bia na kuongeza kodi kwenye mafuta ya petrol, hawaoni kuwa ni mzigo kwa mwananchi, wameongeza tozo ya kodi kwenye simu, mbaya zaidi wazo hili lilitolewa na mbunge kwa mgongo wa kodi ya uzalendo.

Wabunge ni wabinafsi sana eti mshahara wao hautoshi wanaomba waongezewe, wanajiona wao ni special kuliko madaktari, wanapokea sh 13.8M kwa mwezi mbali na posho ya sh 120,000 ya kikao kwa siku, hii kama sio dharau kwa wananchi nini.

Hawana faida kwetu na kwa nchi wamebaki kututungia sheria mbovu na kandamizi, binafsi sioni faida ya mbunge wangu zaidi ya kujinufaisha yeye na familia yake kupitia kura yangu.

Wanatudharau sana sisi wananchi, hawako ‘accountable’ wala ‘resiponsible’ kwa wapiga kura wao kwa vile wanajua once wakishachaguliwa hakuna wa kuwawajibisha hadi miaka 5 iishe.

Nashauri tuirejee katiba ya Warioba iliyopendekeza wabunge kama hawa tuwaondoe hata kabla ya kipindi chao kwisha, bila kufanya hivyo wataendelea kutuona sisi wapiga kura wajinga siku zote.
Tanzania hatuna wabunge, tuna wachawi tu na waganga njaa pamoj na mafuska pale mjengoni.
 
Kiukweli inauma sana,tena hata hicho tunachochangia kinatumika vibaya,kodi yangu inatumika vibaya na watawala wa nchi hii
 
Kiukweli inauma sana,tena hata hicho tunachochangia kinatumika vibaya,kodi yangu inatumika vibaya na watawala wa nchi h
Hii ndio inapelekea watu kukwepa kodi...unakusanya kodi ya mtu eneo hili unamwambia umejenga mtaa wa saba au mmegawana .....bila nguvu ya wananchi kulinda matokeo na Katiba ni noma...
 
Tozo ya miamala ni aibu kubwa sana kwa wabunge na wote waliokuwa wanaishabikia.
 
Back
Top Bottom