Wabunge wanatuona ‘SISI’ wananchi ni wajinga sana

Kwani uongo, wananchi wengi ni wajinga kupindukia…. kuwatetea ni kujitesa tu.
 
Wahuni hao wanadhani wao ni kitengo kingine cha maccm kama uvccm na uwt.

 
Nimekuelewa sana maana ya wabunge ni kutuwakilisha badala yake wanajiwakilisha wenyewe na Matumbo yao by that time hakukuwa na platform za online kama JF Jamhuri ya Muungano wa Twitter na platform zingine amboka watu tunaweza kijiwakilisha wenyewe bila kuwakilisha na mtu bunge lifutwe kabisaa kila mtu ajiwakilishe
 
wananchi wenyewe ndo wajinga.

2025 watagawiwa tisheti na kangamoko wabunge hawahawa mang'ombe warudi mjengoni.

yaani huyo mfumuko wa bei ufumuke tu mkate tununue 10,000
Nioneshe mbunge masikini kutoka Upinzani au CCM au aliyewahi kutaka mshahara upunguzwe na mimi nitakataa deal la kusimamia uchaguzi na kuiba kura.
 
wananchi wenyewe ndo wajinga.

2025 watagawiwa tisheti na kangamoko wabunge hawahawa mang'ombe warudi mjengoni.

yaani huyo mfumuko wa bei ufumuke tu mkate tununue 10,000
Ndugu unatuita wajinga kweli. Tuombe msamaha. Sisi hatukuchagua mbunge. Aliyechagua ni mwendazake. Hukusikia aliposema “Nileteeni Gwajima”. Huo ni mfano tu.
 
Hivi kwani tatizo ni nini ? Katiba mpya na tume ya uchaguzi na msajili,bila ii Mambo kufanyiwa KAZI...ni bora wapinzani wote wasishiriki uchaguzi maana mkondo utarudi kwa wale wale ndio setup.
 
Na Kweli WANANCHI ni WAJINGA mngekuwa na AKILI mngekubali Wawapitishie MASHERIA ya KIKATILI na Wao KUJILIPA MISHAHARA MINONO? Wananchi Mmetolewa UBONGO na Wabunge
 
Kwani uongo, wananchi wengi ni wajinga kupindukia…. kuwatetea ni kujitesa tu.
Sawa wananchi wengi tu wajinga ndio maana tumewachagua wao tutuwakilisha bungeni lkn badala ya kutusaidia wametugeuka.
 
Wazo zuri sana maana madiwani ndo wako karibu na wananchi km huku kwetu mbunge anaenda mwaka wa 15 km atamaliza na huu muhula lakini tunamuona kipindi cha kuomba kula akiondoka sahauni km mna mbunge na hua najiuliza hivi haya machizi ambayo hua yanampigia kula yana akili timamu kweli.
 
Tanzania hatuna wabunge, tuna wachawi tu na waganga njaa pamoj na mafuska pale mjengoni.
 
Kiukweli inauma sana,tena hata hicho tunachochangia kinatumika vibaya,kodi yangu inatumika vibaya na watawala wa nchi hii
 
Kiukweli inauma sana,tena hata hicho tunachochangia kinatumika vibaya,kodi yangu inatumika vibaya na watawala wa nchi h
Hii ndio inapelekea watu kukwepa kodi...unakusanya kodi ya mtu eneo hili unamwambia umejenga mtaa wa saba au mmegawana .....bila nguvu ya wananchi kulinda matokeo na Katiba ni noma...
 
Tozo ya miamala ni aibu kubwa sana kwa wabunge na wote waliokuwa wanaishabikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…