Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Siasa Sio kujichukulia tu watu ukawaweka kwenye chama ukafikir utaleta upinzan siku zote kwenye siasa wanaangalia ushawis pia jua kabisa kila Jimbo alilo toka mbunge wa chadema na kuhamia chama kingine jua kabisa ilo Jimbo chadema wamelipoteza Sasa endelea kuamin vijana wapya watakuja
Now in time, no wonders.

Chama bora cha siasa huwa kinaandaa vijana ambao wakati ukifika kiutawala wanakuwa na uwezo mkubwa kuingia rasmi ktk mfumo wa kiuongozi na kuongoza vyema...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameogopa kumfukuza msabaha, watapoteza viti maalum kama vinne hivi. Vyama vya kidikteta na kisanii utavijua tu
 
Bado chadema inamvuto Sana kwa Jamii huo ndio ukweli watu wanaiamini Kama taasisi pekee inayotetea wanyonge. Silinde na komu ndio mshakufa kisiasa hivyo.
Kiongozi huwezi kuhama chma halafu unakufa kisiasa. Hata kwa Zito mlisema hivyo. Lakini bado yipo.
 
Now in time, no wonders.

Chama bora cha siasa huwa kinaandaa vijana ambao wakati ukifika kiutawala wanakuwa na uwezo mkubwa kuingia rasmi ktk mfumo wa kiuongozi na kuongoza vyema...
Acha kujidanganya kama vijana wapo wameandaliwa kwa nini ukihoji chochote kuhusu mwenyekiti wetu safari imeiva. CCM wanavijana wengi na wanatumika sana.
 
Hili wala halihitaji PhD kujua kuwa uliyoandika ni vice versa.

Kama mwenyekiti wenu CCM ameshakimbia nchi hapo kuna nini tena!?
Kama kakimbia nchi nendeni sasa ikulu ya Magogoni mkakae na Mwenyekiti wenu.
 
Kajifunze kwanza kuandika we mwanafunzi wa Chakubanga.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mbna hzo stori zenu za Lowassa zmeshachuja ni taahira tu ambaye hakuona influence yake ktk ule uchaguzi.
Niliandika hapa siku si nyingi, kwamba chadema itaingia kwenye wiki mbili ngumu mno. Naona yameaza kutokea. Mwenyekiti anapaswa mawazo yake yawe shirikishi, huwezi kutoa maamuzi kama vile unaowaongoza ni watoto wa nursery...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa naipenda chadema, lakini huu ni udikiteta kama wa CCM tu,
Yaani hata hawa ukiwapa nchi, yaliyompata nape, membe, sophia simba, yatawapata wanachama wengine wa Chadema.

Mbunge anachaguliwa na wananchi harafu kamati ya watu wachache, wanamnyanganya ubunge Wake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwez watofautisha na popo hawa viumbe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufukuzwa uanachama sio kuvuliwa ubunge. (Rejea kisa cha Mwambe na spika Ndugai).
Ili uwe mbunge lazma uwe mwanachama wa chama cha siasa, CCM ilisha kataa mgombea binafsi, hivyo ONDOA UGORO WAKO NA USHUZI HAPA
 

Chama kinafuata mawazo ya mtu mmoja ndio tatizo siyo kila kitu ni cha kupinga hata kama ni mpinzani
 
Hao wananchi wangemchaguaje bila kupata ridhaa ya chama chake?
 
Wait, mbunge anafukuzwa uanachama sababu 'kahudhuria' bunge???

Au sijaelewa wengine tupo nyuma ya updates.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Sifa za SACCOS sizijui hebu nieleze labda naweza kuamini kwamba CHADEMA ni SACCOS!!
Una taarifa huko Machame wazee hawamtaki Mwenyekiti wenu wa maisha Mh. Mbowe Mugabe? Mlisema wale vijana waliovuruga mkutano wake wamenunulia na hawa wazee wamenunuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…