Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Wabunge wanne - Anthony Komu, Joseph Selasini, David Silinde na Wilfred Lwakatare wafutwa uanachama wa CHADEMA

Chadema ni chama kinachosimamia misingi yake , Lwakatare yote aliyotendewa na ccm na Chadema kumuokoa kwa gharama kubwa , leo amesahau ! hakika laana hii haitamuacha
 
Kusambaza taarifa isiyo credible na ww unakuwa kwenye hyo chain mkuu!!

Mimi siwezi kuleta video ya watu 10 kuwakilisha maoni ya JF nzima sio kutenda haki kabisa kwa Mbowe.

Mainstream media ingefaa zaidi sio vi-blog uchwara, tijifunze kuleta credible sources humu...
No, huna ushahidi wowote; just pure speculations, na haisaidii chama chako kisiasa. Hiyo clip unayodai "niliyosambaza" siyo kwamba haina credibility bali ni video inayowahusu ya watanzania wa kawaida sana huko vijijini ambao ni wapiga kura pia; hao siyo movie actors.

Ndilo niliokuonya huko nyuma kuwa huwezi kuwa na chama imara kama kinabagua baadhi ya wananchi kuwa wao siyo credible; huo ndio mwisho wa chama kama tunavyoona.

Ungekuwa na busara ungeleta upande wa pili wa shilingi kuonyesha kuwa wananchi wengi wanakubaliana na mwenyekeiti ila hao wanaopinganana naye ni wachache tu kuliko kuleta blanket statements zisizokuwa na kichwa wala miguu.

Mimi siyo mgombea, ila CHADEMA inapitia process inayoitwa sublimation. Iwapo watu waliokuwa wabunge ndani ya CHADEMA wanaona kuwa kuna tatizo kwenye chama hicho, wewe ni nani unayejifanya kujua zaidi ya wabunge hao?
 
Hii ni kweli kabisa,ila alikuwa na mvuto kwa vijana na wasomi.Kuna watu walifikiri akitoka wata fix nafas yake kirahisi,pigo lingine ni kuondoka kwa Dr.Slaa,
Dk Slaa ndiye aliyekuwa mashine ya chama wengine wote walikuwa Wanatembele nyota yake, tokea atoke pale chadema haijawahi kusimama. Huo ndio ukweli ingawa wengine hawataki kukubaliana hili. Mungu ibariki Tanzania
 
Naangalia michango ya makamanda huku nikilinganisha na yale waliyosema alipovuliwa uanachama Mh. Bernad Membe!
Hivi makamanda huwa mnajielewa kweli?
 
Uwezi kwenda kinyume na mwenyekiti ukabaki salama kwenye chama chenye mfumo wa ‘whipping system’ ndio maana vyama vyenye utaratibu wa mifumo hiyo vina ‘chief whip’ bungeni kuakikisha wabunge wote are in toe with party policy inapokuja kwenye upigaji kura bungeni.

Usipopiga kura na chama kufukuzwa hilo ni jambo la kawaida ndani ya ‘whipping system’ na anaetoa agenda ya msimamo wa chama kwenye kupiga kura ni mwenyekiti

Unaweza argue kwenda karantini sio party policy na ni swala la utashi wa mmbunge kutokana na risk assessment zake isipokuwa chama kimetoa ridhaa ya wabunge wake kutohudhuria kama sehemu ya kujikinga (something which I think is sensible) hila uwezi lazimisha kila mtu kufanya ivyo usalama wa mtu sio swala la whip.

Hila kama utaendelea kuuzuria vikao vya bunge na kuchangia kawaida sawa. Lakini ukianza kubeza maamuzi ya mwenyekiti hadharani ni sawa na ku-undermine uongozi wake na hakuna mwenyekiti atakaekuacha duniani kama chama chake kinafuata whipping system maana hilo ni swala la disciplinary action.

In short hao wabunge walitaka kufukuzwa ndani ya chama kwa mienendo yao.
 
No, huna ushahidi wowote; just pure speculations, na haisaidii chama chako kisiasa. Hiyo clip unayodai "niliyosambaza" siyo kwamba haina credibility bali ni video inayowahusu ya watanzania wa kawaida sana huko vijijini ambao ni wapiga kura pia; hao siyo movie actors...
1. Hakuna aliyebagua ila ukiskiliza utagundua hawana uelewa wowote kuhusu lockdown, ni wapi Mbowe alisema wafungiwe ndani ili wafe njaa?

They are not credible because they are not making informed decisions, hvi kweli Trump amesema anamuiga Magufuli? Hyo ease ya lockdown pamoja na mchanganuo wake ndio unaofanywa na Magufuli? Then unatala tuseme ni credible?

Hotuba nzima wanasema magufuli anachapa kazi n.k kwani kuna correlation gani na maoni ya Mbowe na Magufuli kuchapa kazi?? SGR inaingiaje kwenye lockdown proposal ya Mbowe? Hawa ndio credible?

Hao ni wazee tu wamepewa karatasi wasome but hawajui hta Mbowe aliongea nini maana sijasikia hta mmoja akimquote sehemu ya hotuba yake

2. Call it sublimation or whatever ila usitumie wabunge kama basis ya maoni ya wananchi. Dk Slaa mwenye kura million 2 aliona shida ila bado wananchi million 6 hawakuiona!! Zitto kabwe aliyekua ana political capital ya vijana wote CHADEMA aliona shida ila akaambulia 1% ya kura zote 2015. Sasa kama hao majabali waliona shida ila wananchi hawakuona je bado unataka tuwaskilize kina silinde??

Ni hivi, Mmekataa alichotaka Mwenyekiti kuna vyombo sahihi kushughulika sio kuibuka tu bungeni alafu unakashifu kwenye media hyo ni insubordination. Na ndio maana kina lijualikali ama Jaffer hawajafukuzwa sababu walipinga directive ila wanasubiri kutoa duku duku kwenye vikao vya chama ili vijadiliwe.

Nilitegemea wewe kama great thinker uwashangae hao kupinga mitandaoni ilihali ni katibu wa wabunge anaweza muona KUB dakika yeyote!!

Insubordination can never be tolerated, kwa hili nipo na Mbowe.
 
Hawezi kufuta Upinzani maana upo kulingana na KATIBA na SHERIA za nji hii. Nyie endeleeni kumshangilia Magufuli wenu akiendelea KUSIGINA KATIBA lakini ipo siku atalipia haya maovu anaowafanyia Watz! Jiulize Al- Bashir wa Sudan Yuko wapi leo?
Nji hii, siyo? Arawa umesema kwe, kweli!
 
Ninachoshangaa ni chadema kufukuza wanachama wake halafu wanaccm wakaumia.
Kinachowauma wanaccm na kuanza kuropokwa ovyo ni nini hasa?
chadema imejengwa Kwa jasho na damu ya watanzania pamoja na kodi zetu, lazima tuhumie tuvyoona chama kinaporomoka Kwa kasi ya ajabu wakati tuliamini wanaweza kuwa mbadala wa ccm. Mungu ibariki Tanzania
 
Naangalia michango ya makamanda huku nikilinganisha na yale waliyosema alipovuliwa uanachama Mh. Bernad Membe!
Hivi makamanda huwa mnajielewa kweli?
Mkuu Membe alitumbuliwa sababu alitaka urais hilo liko wazi ila hawa wanatumbuliwa kwa utovu wa nidhamu tofautisha hayo masuala.

Na ndio maana wabunge wengine 10 hawajitumuliwa ila wameambiwa wajitetee kwenye vikao vya chama.
 
1. Hakuna aliyebagua ila ukiskiliza utagundua hawana uelewa wowote kuhusu lockdown, ni wapi Mbowe alisema wafungiwe ndani ili wafe njaa?

They are not credible because they are not making informed decisions, hvi kweli Trump amesema anamuiga Magufuli? Hyo ease ya lockdown pamoja na mchanganuo wake ndio unaofanywa na Magufuli? Then unatala tuseme ni credible?...
I can't be a great thinker of trivial things!
 
I can't be a great thinker of trivial things!
Trivial wakati una muda wa kupost video za propaganda ya wazee illiterates humu?

Kwahiyo umekua great thinker kwenye vitu muhimu kma kupost video ya wazee wanaodai Trump anamuiga magufuli?

Haahaaa mkuu ur too good for that
 
Bunge tayari limewaambia wabunge wa chadema waliojiweka karantini warudishe posho walizochukua la sivyo watachukuliwa hatari lakini wabunge waliokaidi uamuzi wa kususia bunge tayari wamefukuzwa na chama chao inaonekana chadema hakuna viongozi wanaosoma alama za nyakati uamuzi walioutoa utabaki kama maigizo.
 
Back
Top Bottom