sawa kufukuza wanachama sio tatizo vyama vyote hufanya hivyo lakini kwa kosa gani kubwa?Mimi nawashangaa Hawa Mafisi wa Lumumba Street. Wao wamesha sahau maamuzi magumu ya Mwenyekiti wao Jiwe kuhusu sakata la kina Membe, Mzee Makamba, Kinena, Nape,Januari etc....! Wakifanya wao ni nidhamu ya chama inaxingatiwa lakini wakifanya CHADEMA.....umbeya mwingi Sana!
Kila Chama kina sheria,Kanuni na taratibu za kufuata kwa yeyote anayekiuka maelekezo ya Chama.
After all Bunge la Bajeti linamalixika mwisho wa mwezi na linavunjiliwa mbali, so far so good. There's nothing to loose.