mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Upuuzi tu.Nimeipata hii kutoka Hai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi tu.Nimeipata hii kutoka Hai
Mkuu, Maana ya kuwa na Chama mbadara bado hujajua ni nini Maana yake?Mwenyekiti wenu hua ana wisdom au anger?
Ninachoshangaa ni chadema kufukuza wanachama wake halafu wanaccm wakaumia.tulisema tukabezwa humu, kuwa mpaka 2020 wakati wa uchaguzi, chadema itakuwa imebaki na mwenyekiti tu hawa wote waliofukuzwa ndio waliokuwa wajenzi wa chadema 2010_2015 eti sasahivi ndio wamekuwa wasaliti. Tabu ya Mbowe ataki kuhambiwa ukweli kuwa ndiye alialibu chadema Kwa gia yake ya angani. Sasa wanatafunana wenyewe Kwa wenyewe watamalizana. Mungu ibariki Tanzania
Busara ilikuwa ni kuwaacha tu ndani ya Chama wajipoteze wenyewe, kwa sasa ni kama mmewapa kiki hivi.
Silinde ni mwehu sijapata kuona.
Nikimkumbuka rwakatare Enzi zile yuko ni Ile Nissan March alipokuwa anaingiza cdm hata nuru hakuwa nayo, Chama kimembeba hadi akapata ubunge
Nuru ikamrudia, Sasa anataka kuvimbiana na watu
Huyu silinde naye yuko chuo anaenda kwenye chama
Hana A wala Be upepo wa slaa ule akapata ubunge
Kuna wakati fulani Kuna watu tunawacheki tu!
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo kutemwa hawa, hata Mbowe kwa nini ameachwa hadi kufikia hapa?Ni sawa lakini hawa watu automatically kwa matendo yao hawakuonekana kutaka kuendelea kuwa wanachama wa Chadema...
Siyo hawa hawa akina Mnyika na Mbowe waliokwenda Mwanza kuomba maridhiano?Acha kujidanganya mwenyw hukumbuki kuna watu walikwenda kuungama Ikulu kwa bwana yule?au ulikuwa mtt?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] Kwahiyo kumbe takataka zilizoko ccm na chadema zipo?Mwenyekiti wenu hua ana wisdom au anger?
Sure mkuu, sio kila uamuzi wa chama lazima tuukubali wote. Mengine tujifunze kwa wenzetu wanaosema NOKama itakuwa ni kuwafukuza uanachama watu, hayo hayatakuwa maamuzi magumu. Tujifunze kukubali maamuzi yanayopingana na misimamo yetu. Sometimes hii ya “wengi wape” haina mantiki
Kufukuzwa uanachama sio kuvuliwa ubunge. (Rejea kisa cha Mwambe na spika Ndugai).CHADEMA ni chama makini sana!!
Kubenea sijui wanamchelewa NiniMoyo wangu umefarijika sana bado kubenea na lijualikali