johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #241
Shida ya Chadema siyo kuwaondoa bungeni bali kuwachafulia CV zao......bunge limebakiza wiki mbili tu!Hawa lazima wataendelea kuwa wabunge kupitia Mahakama,
Lazima watakwenda Mahakamani kupinga , mahakama itawasikiliza , itapigwa danadana hadi bunge linavunjwa