Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

wale wanaohama wakusanyane woote, tuwe na press moja, halafu tunapokezana tu, wa upande huu wanakwenda upende mwingine wanapokelewa, and viseversa, hizi mambo zinakula muda wa wavuja jasho jamani kuwajadili wanasiasa tuu.
stroke tangu nianze kukufahamu humu JF leo umeongea kitu cha maana sana, unaanza kuwa na akili sasa, umekua ee
 
ila kweli aisee, nina uhakika angekuwa upinzani kaingia na kofia zake hizo piga ua sasa hivi angekuwa central akichukuliwa maelezo
 
wakirudishwa mimi nitajinyonga live mubashara.. wamesahai kilichowatokea wale madiwani???
 
Mkuu swissme naamini hata wewe kipindi pombe ni waziri ulitamani siku moja aje kuwa rais! Tusimlaumu JK maana Pombe ni kinyonga first grade.
Sijawahi kumkubali Ngosha tangu ni waziri maana nilishaona dalili za kukurupuka na kuchangia hasara za taifa badala ya pato la taifa
 
Wacha wahame...Imekuwa ni kuhama kama unahama nyuma..
Ukipanga nyumba lazima utahama
Ukijenga nyumba huwezi kuhama
 
wale wanaohama wakusanyane woote, tuwe na press moja, halafu tunapokezana tu, wa upande huu wanakwenda upende mwingine wanapokelewa, and viseversa, hizi mambo zinakula muda wa wavuja jasho jamani kuwajadili wanasiasa tuu.
Wewe kama unajadili watu kucha kutwa hufanyi shughuli utakua na matatizo fanya kazi kwani kumeitishwa mapumziko ya taifa?
 
Mkuu unashangaa nn hapo wakati ktk chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanyika hivi karibu kampeni zinapigwa na mawaziri wakuu wa wilaya/mkoa.
 
Tume itafakari wanaohama wasigombee wanaitia hasara nchi na wananchi waliowaamini
Wanachezea pesa za umma,wala hawana chembe ya kuwatumikia wananchi waliowachagua,ni vimeo wa kisiasa,Mwl Nyerere aliwaita malaya wa kisiasa.
 
Bei ya kumuiba diwani ni 2ml.
Bei ya kiongozi wa jumuia ya chama ni 5ml-10ml.
Bei mbunge ni 15ml-25ml.
[HASHTAG]#inapendeza[/HASHTAG] sana.
Bei ya mkt ni 30m-45m. Siasa tami jamani asikuambie mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…