Mkuu kwa hiyo mlitudanganya wakati ule mkituaminisha kwa nguvu zote kuwa Lowasa ni fisadi? Mwombeni msamaha basi hadharani kuwa tuliyosema sio kweli. Tuanze upya!!
Acha ufala wewe mafisadi unao humo humo CCM Lowasa kaiba nini? Kwani Lowasa ndiyo alinunua kivuko kibovu ndege kujenga uwanja wa ndege chato kuuza nyumba za serikali na kula chenji ya rada chenji bunge la katiba kiwanda hewa kule Lindi