Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
Utafiti wa hivi karibuni hapa hapa JF umethibitisha pasipo na shaka kuwa, wakati mwingine hata post za kijinga nazo hupata likes!
 
Hakuna lisilowezekana chini ya jua, hata hivyo ikitokea uyasemayo yakawa kweli litakuwa si jambo la kheri kwa maendeleo ya nchi. Tunahitaji Taifa lenye upinzani wenye nguvu ili kukabiliana na chama tawala na serikali yake kutatua changamoto za nchi
 
Hivi vyama vya CCM na CHADEMA wameshindwa kabisa kutafuta mbinu za kupata wanachama wapya? Makelele ya wanaohamahama sio njia ya kujiimarisha katika vyama bali ni kudumaa.

Kama wakihamia wanapewa tshirt na kofia au magwanda baada ya hapo je? Habari zenyewe kwenye mitandao na magazeti zinadumu kwa masaa machache sana.

Muda si mrefu hii zig zag itakosa mvuto miaka inakwenda itafika 2020 wataanza kuzunguka majimboni na magunia yaliyojaa maneno ya uwongo. Ujinga sana huu natamani kama tuzitupilie mbali hizi habari za kuhamahama tuamshe hasira zetu kwenye KATIBA MPYA.

Tume ya uchaguzi itaanza kushambuliwa 2019 saa hizi watu wako busy kupokea na kuaga wanachama. Wanaacha kuanzisha kampeni za kudai KATIBA MPYA itakayotupatia TUME YA UCHAGUZI yenye kueleweka lakini hatusimii haya hadi karibia kunapokucha ndio njia za kupaza sauti zinatafutwa na sauti zitasikika ila itakuwa too late. Sawa na kuvuta shuka saa kumi na mbili asubuhi . Akili za ovyo kabisa hizi
 
Habari wakuu naona kila dalili kwa wanaccm asilia wameamua kumsusia chama magufuli baada ya kuyakumbatia mafisadi. Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa bashe na wabunge wengine watatu kutoka kanda ya kati watatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya ccm na kumfata nyalandu ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na magufuli
 
Acha aende maana sioni tofauti ya kuwepo au kutokuwepo kwake kwenye chama!
acha upunguwani unabebwa na tetesi za wapuuzi eti anahamia kwa maccm, roho na akili hiyo hana na ndo kwanza mwenzako anakimbiza maccm huko Iringa kwa uchaguzi wa kesho kutwa
 
Sio rahisi mnyika yuko iringa sasa hivi anapiga kampeni ya kufa mtu.
hii mijinga haijui hata dunia inaendaje inakurupuka na thread za hovyohovyo wakati mnyika anakimbiza mbaya huko iringa
 
Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
Fisadi mkuu kwa sasa ni yule anayetumia hela ya uma kinyume na sheria na taratibu zaidi akijenga kwao
 
Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
vita ya ufisadi ipi, si mnasema magu ameokomesha ufisadi?? huo ufisadi uliofanywa lini na nani??. magu huyu si alisema hafukui makaburi?? wataenda kupambana na ufisadi UPI na wa nani?? . kweli?? wanakwenda Vitani kupambana na ufisadi waChato airport, au chato referal hospital, au ufisadi wa hostel za UDSM, au ununuzi was Bombaddier
 
Hili jukwaa kwasasa limevamiwa na waganga wa kienyeji wapigao ramli,tunazidi kupoteza maana halisi ya jukwaa.
 
Chadema walifanya mistake kubwa sana kumkaribisha lowassa
 
Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
Lumumba wanafiki sana kwa kweli
 
Hapa ukweli haupo kabisa kwa jinsi navyowafaham hao wakina mnyika,ccm wanapaona kama jehanam.
 
Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe

Mnyika ana akili timamu wewe chukueni hayo makinikia yanayozunguka kwenye vyama usiku na mchana.
 
Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
Daah CHADEMA ndio wanamamlaka ya kushtaki
Mmmmhhh
 
Back
Top Bottom