Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

Tetesi: Wabunge wanne, kuhama vyama vyao

Kwa kweli kwa sasa Chadema kinanuka uvundo wa ufisadi, namuunga mkono ahame hilo lichama. Tulipoteza muda mwingi kuwapigania wakaja kutuuza bei poa.
 
Hawa mafisadi wa CHADEMA ni kina nani na kwanini hawashtakiwi?!
 
Unaona dalili....sio mimba hii mkuu kila mtu mpk ateme mate au kuvimba miguu na kujaa tumbo babu
 
Acha ufala wewe mafisadi unao humo humo CCM Lowasa kaiba nini? Kwani Lowasa ndiyo alinunua kivuko kibovu ndege kujenga uwanja wa ndege chato kuuza nyumba za serikali na kula chenji ya rada chenji bunge la katiba kiwanda hewa kule Lindi
Hujui alichoiba Lowasa ? kamuulize Msingwa, Lema , Mbowe, na yule wazawa walomsmoke watakuambia kaiba nini.
 
Aliondoka ZZK lakini cha mpaka leo kipo..
Akaondoka Dr Slaa na Bado chadema ipo tena strong sanaaa
 
Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
Sio rahisi mnyika yuko iringa sasa hivi anapiga kampeni ya kufa mtu.
 
Acha ufala wewe mafisadi unao humo humo CCM Lowasa kaiba nini? Kwani Lowasa ndiyo alinunua kivuko kibovu ndege kujenga uwanja wa ndege chato kuuza nyumba za serikali na kula chenji ya rada chenji bunge la katiba kiwanda hewa kule Lindi
Mkuu.. Unafikiri kwa kutumia nini?

Sumaye alikuwa waziri mkuu wakati nyumba na rada zinatokea..

Umejaribu kumjuliza Sumaye hili swala, maana yupo chumbani kabisa huko chadema
 
Hivi kupambana na ufisadi ikoje? Wale wa rushwa Kule arusha na vipi wale akina chenge na wenzake na wale wa sandarusi, kinachoonekana ni kwamba maumivu ya Lowasa kuondoka ccm na baadaye Sumaye na sasa Nyarandu imejenga Inda kwa viongozi tawala na sasa mioyoni mwao wanasema na sisi tunaweza kuwachukua yaani ni mashindano ya kijinga!
 
Hii ni habari njema, waache nafasi na sisi tupate vyeo tuanze kula, wenzetu wameshavimbiwa.
Aiseee!! Kaazi kwelikweli.. Kumbe Fisi bado anasubiri kwamba ipo siku mikono ya binadamu itadkndoka nayeye apate kitoweo..
 
Back
Top Bottom