Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,456
- 1,410
time will tell halafu tukutane jukwaanihahahahha..Hizi zako ni ramli.hazina ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
time will tell halafu tukutane jukwaanihahahahha..Hizi zako ni ramli.hazina ukweli
Magufuli ameshawapa ubalozi, nawakumbusha ahadi ya kumsomesha mtoto wa Mwangosi muitimize.Afadhali aende tu, huwezi kuishi na kinyesi sebuleni....wakae tu na Lowasa wao.
sawa mkuu..HhahahahahhaHata Lisu nae atarudi CCM, ni swala la muda tu.
Mafisadi unao humo humo CCM Lowasa kaiba nini? Kwani Lowasa ndiyo alinunua kivuko kibovu ndege kujenga uwanja wa ndege chato kuuza nyumba za serikali na kula chenji ya rada chenji bunge la katiba kiwanda hewa kule LindiAfadhali aende tu, huwezi kuishi na kinyesi sebuleni....wakae tu na Lowasa wao.
Hujasikia Membe anajiunga na ACT?Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
Na wale waliomiminia Lissu risasi wanakaribia kujiunga na CUF,Hata Lisu nae atatimkia zake CCM, ni swala la muda tu.
Hear sayHabari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe
Hawezi kuondoka Chadema wakati yeye ndio mmiliki halali.!kuna tetesi kuwa lowasa atajiondoa CHADEMA na kujiunga na CHAUMA.
Vipi unasemaje hapo?
Mkuu bila shaka nawe umefurahishwa na hili jembe letu Dr Slaa kupewa nafasi ili asaidie kujenga Taifa letu.!Magufuli ameshawapa ubalozi, nawakumbusha ahadi ya kumsomesha mtoto wa Mwangosi muitimize.
Kama si uchochezi wa Padre Slaa Mwangosi angekuwa hai leo, kwahili Padre Slaa ana la kujibu siku ya mwisho mbele za Mungu.
View attachment 637064
Sasa hao wanachadema asilia ndiyo huyo myika? Nilidhani una list ndefu ya hao wanachadema.asilia kumbe ni mtu mmoja!!!Habari wakuu naona kila dalili kwa wanachadema asilia wameamua kumsusia chama mbowe baada ya kukaribisha mafisadi.Habari za kiintelijensia zikizonifikia hivi punde mda wowote kuanzia sasa myika atatangaza kujiuzulu ubunge na kujivua nyazifa zote ndan ya cdm na kumfata kafulila ili kuiendeleza vita dhidi ya ufisadi iliyozimwa na mbowe