Yeye ndiyo anajuaAlichoongea ni uongo au kweli? Tuanzie hapo
anajistukiaKwa sababu ni mwizi? Kwani una ugomvi na Januari?
Alafu wambane arudishe mali za wavuvi nimeishasema tusiporudishiwa Mali zetu hatupigi kura mileleWabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya Watanzania.
Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.
Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.
View: https://youtu.be/CwuDTuTXLS8?si=gk59OFFIcZwntzZi
Mpina kakosea sana, anapingana na SERA ya SSH ya kila mbuzi kula kwa urefu wa kambaKosa la Mpina ni kupinga ufisadi?
Mate Na UlimiCCM ufisadi ni nyumbani kwake
Majangili tupuMate Na Ulimi
Chama cha hovyo sana.CCM ufisadi ni nyumbani kwake
Majangili tupuChama cha hovyo sana.
Wanapenda kujizima dataHayo ya uwaziri ni yake cha msingi anaongea ukweli.Wananchi tunachokitaka nikuona nchi inafwata misingi bora ya utawala sio mambo yakulindana wakati nchi iko ovyo kila sekta.
Tatizo ni kwamba watu hamtaki kuambiwa ukweli ndo maana ikijitokeza miongoni mwenu mtu kaamua kua mkweli mnamuona hafai kwasababu mmekaririshana lazima muwe chawa wakusifia tu badala ya kukosoa.
Mpina hana cha kupoteza ,mtafukuza ccm atakuja bungeni kwa njia nyingine na spana zitaendelea tuWabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya Watanzania.
Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.
Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.
View: https://youtu.be/CwuDTuTXLS8?si=gk59OFFIcZwntzZi
Kosa la Mpina ni kupinga ufisadi?
CCM na Demokrasia wapi na wapi CCM ni Mafia Style.Kwa hiyo ile Demokrasia inayodaiwa kukua sana awamu hii ni ipi hasa kama kuhoji tu bado ni kosa!