Tetesi: Wabunge washauri Luhaga Mpina afukuzwe CCM

A
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya Watanzania.

Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.

Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.

View: https://youtu.be/CwuDTuTXLS8?si=gk59OFFIcZwntzZi

Alafu wambane arudishe mali za wavuvi nimeishasema tusiporudishiwa Mali zetu hatupigi kura milele
 
Hata musukuma huyu hyuuu tunayemjuaa?? In nawandas voice
 
Hayo ya uwaziri ni yake cha msingi anaongea ukweli.Wananchi tunachokitaka nikuona nchi inafwata misingi bora ya utawala sio mambo yakulindana wakati nchi iko ovyo kila sekta.

Tatizo ni kwamba watu hamtaki kuambiwa ukweli ndo maana ikijitokeza miongoni mwenu mtu kaamua kua mkweli mnamuona hafai kwasababu mmekaririshana lazima muwe chawa wakusifia tu badala ya kukosoa.
Wanapenda kujizima data
 
Wabunge kadhaa wamedaiwa kupeleka malalamiko kwa Rais Samia kwamba Luhaga Mpina afukuzwe CCM kutokana na kile wanachodai kukiharibu Chama cha Mapinduzi mbele ya Watanzania.

Wabunge wanaotajwa kumchongea Mpina kwa Rais ni Wajumbe NEC wakiongozwa na Livingstone Lusinde, Joseph Kasheku Msukuma, Januari Makamba, Mwigulu Nchemba, Hussein Bashe, Makame Mbarawa.

Wabunge hao wanatajwa kuendesha kampeni za chini kwa chini na kumshauri Mama amfukuze Mpina CCM. Tusubiri tuone CCM ni dude kubwa.

View: https://youtu.be/CwuDTuTXLS8?si=gk59OFFIcZwntzZi

Mpina hana cha kupoteza ,mtafukuza ccm atakuja bungeni kwa njia nyingine na spana zitaendelea tu
 
Back
Top Bottom